Mtu wa Asali
Senior Member
- May 9, 2022
- 152
- 292
Mwalimu wangu huyu kuna kipindi aliwahi kunifanya nikarudia mtihani yaani supplementary baada ya kutoa mfano wa serikali ya CCM kwenye swali la mtihani.
Sitaki kusema huu ndiyo uwe mwanzo wangu, ila nilifanikiwa kumuona akiwa katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa yale aliyoyafanya na watu wote mlishihudia kuna wakati nilijiuliza kuwa ni yeye au ni copy yake hii.
Dkt. Bashiru alikuwa zaidi ya neno hovyo, hekima na maarifa viliondoka akawa anaishi mithili ya mpiga debe wa Tandika kuna wakati ilifika tuliogopa kusema yule ni mwalimu wa chuo kikuu.
Bashiru hana moral authority ya kusema jambo lolote lile kwenye mipaka ya nchi hii kwasasa moja aombee msamaha wanafunzi wake tuliowahi kupitia maumivu ya chuki zake, na pili anyamaze milele itampendeza kuliko kuendelea kuonyesha ubovu wa kichwa chake.