Dkt. Bashiru Ally jiuzulu ili kulinda heshima yako, kupewa Ubunge wa kuteuliwa ni kudhalilishwa

Bashiru bado ni mbunge na baada ya miaka mitano tunampa uongozi mwingina nyie roho mbaya na mafisadi mtabaki mkilialia na safari inaendelea.
Bashiru sio type yenu watu wenye vyeti feki na cv za kubumba.
Una roho ya mwendazake.
KWISHA HABARI YENU
 
Kuhusu huyu Bashiru imeisha hiyo arudi kushika chaki UDSM..Kutolewa kwenye nafasi ya KMK hata mwezi haujaisha ni dharau ya hali ya juu
Kila utawala na zama zake.hilo ndo fungu lake. Nikwakuwa humpend jpm ila ungekuwa upande wa jpm usinge muona bashiru mbaya.
 
Mkuu Bashiru kuteuliwa kutoka Katibu Mkuu wa Chama cha siasa na kuwa Katibu Mkuu Kiongozi haikuwa sahihi kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za Utumishi wa Umaa. Hata yeye analijua hilo ndio maana amekubali nafasi ya Ubunge.
 
Mkuu wa usalama wa taifa wa sasa unamkumbuka?unakumbuka safari zake ?unakumbuka alimopitia?

Unamkumbuka mkuu wa tra?alipelekwa njombe? Saizi yupo wapi? Mwacheni bashiru akomae
 
Yaaani unavyoongea utadhani huyu Bashiru ni mtu muhimu sana katika siasa na uongozi hapa nchini, kumbe ni mtu ambaye hana jambo lolote muhimu alilofanya kwenye siasa za nchi hij zaidi ya kuharibu uchaguzi wa 2019 na ule wa 2020. Bashiru is not that much special asee

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Udokozi wa kutaka kunywa uji wa mgonjwa umemponza Tamaa mbaya
Mwache avune alichopanda
 
Hayo ndo matunda ya kufanya kazi kwa kujipendekeza
 
Uvumilivu ni muhimu sana kwenye utumishi wa Umma.
Kwanza hapo Bashiru anavuta parefu sana kuliko wewe.
Sio tuu kupita yeye, katika utumishi wa umma, mishahara huwa haipunguzwi ukiwa tayari umesha upata hata baada ya kushushwa cheo au madaraka.
Kama Katibu Kiongozi anavuta mshahara mkubwa kuliko Speaker, basi Bashiru atakuwa na mshahara mkubwa kuliko Speaker.

Ila marupurupu ya Cheo ulichopatia mshahara mnono ukivuliwa basi marupurupu yake hupati tena. Kwa hali hiyo marupurupu ya nafasi ya Katibu Kiongozi Bashiru hato yapata tena.
 
Si ajabu na wewe una degree.
 
Hivi unajua kwa mwezi mmoja na siku kadhaa alizo hudumu kama Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu amejua siri kiasi gani za nchi! Unafahamu uzito wa hiyo nafasi? Acha kumchochea aanze kutunishiana misuli na STATE kwa kususa Ubunge, atashughurikiwa.
Mimi nafiiri alikuwa hajayapitia mafaili vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…