Dkt. Bashiru Ally Kakurwa anatufaa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
9,863
Reaction score
20,806
Mama kama utasoma mwandiko wangu huu hapa jukwaani!

Mtu pekee ambae atakuwa loyal kwako kutokana na hofu aliyonayo baada ya yale ya kipindi kile ni Dkt. Bashiru Ally kakurwa hebu mpe nafasi naamini hatokuangusha!

Unachohitaji ni ushindi TU na ushindi unapatikana Kwa kiteua wale waliodhaniwa hawafai Tena kumbe wanafaa!!

Mpe huyu Dkt. nafasi atakusaidia!

Kazi iendelee!

Mungu ibariki Jamhuri yetu ya Muungano wa Tanzania!

Pia soma
- Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
 
Naona wewe ni Bashiru, unataka kusikia waja wanasemaje.
 
Mama kama utasoma mwandiko wangu huu hapa jukwaani!

Mtu pekee ambae atakua loyal kwako kutokana na hofu aliyonayo baada ya Yale ya kipindi kile ni Dr. Bashiru Ally kakurwa hebu mpe nafasi naamini hatokuangusha!

Unachohitaji ni ushindi TU na ushindi unapatikana Kwa kiteua wale waliodhaniwa hawafai Tena kumbe wanafaa!!

Mpe huyu Dr nafasi atakusaidia!

Kazi iendelee!

Mungu ibariki jamhuri yetu ya Muungano wa Tanzania!
Sukuma gang mnarudi kwa kasi ya 6G
 
Mama kama utasoma mwandiko wangu huu hapa jukwaani!

Mtu pekee ambae atakuwa loyal kwako kutokana na hofu aliyonayo baada ya yale ya kipindi kile ni Dkt. Bashiru Ally kakurwa hebu mpe nafasi naamini hatokuangusha!

Unachohitaji ni ushindi TU na ushindi unapatikana Kwa kiteua wale waliodhaniwa hawafai Tena kumbe wanafaa!!

Mpe huyu Dkt. nafasi atakusaidia!

Kazi iendelee!

Mungu ibariki Jamhuri yetu ya Muungano wa Tanzania!
Huyo si ndiye alisimamia show ya kumzuia Samia asikalie hicho kiti.
 
Je si itakuwa ni too late au?
Too late yake ni kuingia kwenye uchaguzi ujao bila kutimiza maagizo ya the state kuhusu upatikanaji katiba mpya!!

"Wale conservative ambao wanataka mambo yabaki hivi hivi watakushwa kimya kimya" Tumia akili!

Mtego was katiba utasababisha mabaka kukalia kiti kabla ya reconcilation ya nani apewe!!

Mpina anapiga jeramba kule,sijui anaandaliwa Kwa kiti kipi!!?

Ngoja tuone!
 
Aiseee, mambo ni moto sana naona kama huko juu.

Ila si angefanya tu 2025 uwe mwaka wa kupata katiba mpya, halafu uchaguzi mkuu aupeleke 2026 ili nchi iingie uchaguzi mkuu na katiba mpya au itakuwa haiwezekani?
 
Too late yake ni kuingia kwenye uchaguzi ujao bila kutimiza maagizo ya the state kuhusu upatikanaji katiba mpya!!

"Wale conservative ambao wanataka mambo yabaki hivi hivi watakushwa kimya kimya" Tumia akili!

Mtego was katiba utasababisha mabaka kukalia kiti kabla ya reconcilation ya nani apewe!!

Mpina anapiga jeramba kule,sijui anaandaliwa Kwa kiti kipi!!?

Ngoja tuone!
Huyu Mtu inaonekana kabisa ni mtu aliyefika hapo kwa msaada wa Msoga Gang, inakuwaje kwa hivi sasa kama vile kukosa kuelewana?
 
Back
Top Bottom