Dkt. Bashiru Ally Kakurwa anatufaa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara

Dkt. Bashiru Ally Kakurwa anatufaa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara

Mama kama utasoma mwandiko wangu huu hapa jukwaani!

Mtu pekee ambae atakuwa loyal kwako kutokana na hofu aliyonayo baada ya yale ya kipindi kile ni Dkt. Bashiru Ally kakurwa hebu mpe nafasi naamini hatokuangusha!

Unachohitaji ni ushindi TU na ushindi unapatikana Kwa kiteua wale waliodhaniwa hawafai Tena kumbe wanafaa!!

Mpe huyu Dkt. nafasi atakusaidia!

Kazi iendelee!

Mungu ibariki Jamhuri yetu ya Muungano wa Tanzania!

Pia soma
- Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Hii ramli iliishia jan 18
 
Back
Top Bottom