Dkt. Bashiru Ally kuwa tena Katibu Mkuu wa CCM?

Wake up.
Baahiru keshamwagwa.
Yeye na Polepolr sasa hivi wanaionea power kwenye kioo
 
Kwa namna alivyotolewa kwenye uKMK, ningeshangaa sana kupewa uKM wa CCM chini ya mwenyekiti Samia!

JPM ni Samia na Samia ni JPM (...mama "msanii" sana!)

"Kazi inaendelea......"
 
Kwi Kwi Kwi , Chawa Chawani ! 😆😆
 
Hongera sana Bashiru Amekuwa tena Katibu Mkui wa ccm
 
Inawezekana hujui unachokiandika, Dr Bashiru ni mtu wa hovyo sana amewaletea dhiki matawini na katani, mapato yote yanakwenda CCM Taifa na hawa wenye chanzo cha mapato wanaachwa na dhiki wanashindwa kununuwa maji ya kunywa eakati wa vikao inabidi wageuke chawa wa viongozi wa kidols ili mambo yaende.
 
Ccm mnawaza ulaji tu hamna habari na maisha ya wananchi
 
Mnatulet Mnatuwekea uzi mfu ili nini?
 
Zikienda taifa si zinarudishwa kwa kila tawi na ndo utaratibu huo wa kucentralize mapato hata nchi inaendeshwa hivyo sio unakusanya hela za cha unazila hapo hao kwenye matawi .mbaya zaidi umekusanya 100 wew unasema nimekusanya 30 . 70 yote mfukoni mwako huo ndo utaratibu akina bulembo wanaupigania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazirudi matawini, nakuhakikishia.
 
Bashiru alifukuzwa kwenye kamati kuu kwa shinikizo la JK.
Sasa leo atarudi kuwa Katibu Mkuu CCM kwa njia ya panya?
 
Arudi tu maana kwa kukaa benchi nadhani atakuwa ameishajifunza CCM ilivyo na namna nzuri ya kuongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…