Dkt. Bashiru Ally kuwa tena Katibu Mkuu wa CCM?

Dkt. Bashiru Ally kuwa tena Katibu Mkuu wa CCM?

time will tell ,everybody is entitle to his/her opinion and i respect that .for this thread i hold adifferent opinion which is contrary. let us wait and see.
 
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sir Harold Wilson aliwahi kusema, ''A week is a long time in politics''.

Katika historia ya Tanzania, Dkt. Bashiru Ally kama inavyododoswa kwa sasa kurudi tena kuwa Katibu Mkuu wa CCM atakuwa ni mmoja wa watanzania ambao utumishi wao wa umma unaweza kidogo kulinganishwa na Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa!...
Mama aanze na safu ingine hats huko chamani
 
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sir Harold Wilson aliwahi kusema, ''A week is a long time in politics''.

Katika historia ya Tanzania, Dkt. Bashiru Ally kama inavyododoswa kwa sasa kurudi tena kuwa Katibu Mkuu wa CCM atakuwa ni mmoja wa watanzania ambao utumishi wao wa umma unaweza kidogo kulinganishwa na Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa!....
Ramli zimeshaanza tena
 
Duh!

Kama ni kweli, hiyo maana yake ni nini?

Kwamba alikuwa ‘effective’ [sana] katika hiyo nafasi mpaka mwenyekiti mpya kaona ni bora amrudishe?

Ila, huu uzi usije ukawa ni uchuro maana Mama keshasema mara kadhaa sasa kuwa huwa anasoma yajiriyo kwenye mitandao ya kijamii na naamini JF ni moja ya hiyo mitandao.
Hakuna mtandao unaofatiliwa kama jamii forum
 
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sir Harold Wilson aliwahi kusema, ''A week is a long time in politics''.

Katika historia ya Tanzania, Dkt. Bashiru Ally kama inavyododoswa kwa sasa kurudi tena kuwa Katibu Mkuu wa CCM atakuwa ni mmoja wa watanzania ambao utumishi wao wa umma unaweza kidogo kulinganishwa na Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa!...
Acha porojo wewe.. kwahiyo ubunge wake utatenguliwa? Yan Mtu atolewe kwenye circle ya uongozi wa nchi ya ukatibu kiongozi ampe ukatibu mkuu CCM ili aanze kuwasumbua kina Kinana na Makamba, kuita kuwahoji. Haitotokea
 
Nadhani neno ''efective'' ni pana sana.

Kwa kifupi ameibadilisha sana CCM katika utendaji wake lakini vilevile alihakikisha mapato ya CCM yanakusanywa vizuri kutoka kwenye vyanzo vyake ambavyo vingine vilikuwa vinaishia kwenye mikono ya baadhi ya viongozi ndani ya CCM.
Ukweli utabaki huu tu hata mkibadilishana makoti mara mbili mbili nyie ni chawa wa Taifa mnaotukamua walalahoi kwa kutulipisha kodi huku...msafara wa Rais magari 70 mpk 100..!Huo ndio uzalendo !!! Tena ma v8 tupu Mijizi mikubwa..halafu mnatuita wanyonge....
 
Nadhani neno ''efective'' ni pana sana.

Kwa kifupi ameibadilisha sana CCM katika utendaji wake lakini vilevile alihakikisha mapato ya CCM yanakusanywa vizuri kutoka kwenye vyanzo vyake ambavyo vingine vilikuwa vinaishia kwenye mikono ya baadhi ya viongozi ndani ya CCM.
Aliifanya ccm kua chama cha wauaji,uvccm mwenyekiti wake alisimama hadharani n kusema liisu n wapinzani ni watu wakutolewa roho,mama amrudishe kakuru kwao burundi akaongoze chama cha nkuruzinza
 
Siwezi kusema amefanikiwa katika malengo yote ya CCM lakini ninaweza kusema amefanikiwa katika mengi.
Nitakupa mifano halisi ya mafanikio ya Dr. Bashiru Kama katibu mkuu wa ccm ambayo ni :-
1: Ununuzi wa wabunge wa vyama
vingine vya siasa
2: Uharibifu wa chaguzi za serikali za
Mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020.
3: Kugawa vyeo kikanda.
Mengine ongeza.
 
Kwa uovu anaotuhumiwa nao hafai kabisa, pia ni mtu aliyeshiriki siasa za kuchafuana, kudhulumu, wizi, na uonevu. hafai kabisa!
 
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sir Harold Wilson aliwahi kusema, ''A week is a long time in politics''.

Katika historia ya Tanzania, Dkt. Bashiru Ally kama inavyododoswa kwa sasa kurudi tena kuwa Katibu Mkuu wa CCM atakuwa ni mmoja wa watanzania ambao utumishi wao wa umma unaweza kidogo kulinganishwa na Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa!..
vyovyote vile itakavyokuwa tumejipanga tupo tayari kwa lolote
 
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sir Harold Wilson aliwahi kusema, ''A week is a long time in politics''.

Katika historia ya Tanzania, Dkt. Bashiru Ally kama inavyododoswa kwa sasa kurudi tena kuwa Katibu Mkuu wa CCM atakuwa ni mmoja wa watanzania ambao utumishi wao wa umma unaweza kidogo kulinganishwa na Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa!...
Nakuona CHAWA katika ubora wako , bila upambe ada za shule za watoto wenu hazilipwi !
 
Back
Top Bottom