Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
wewe umeongea na CAG na CDF?Yaaani Samia bana anawaweza kweli! "Samia ni Magufuli, na Magufuli ni Samia".... huku anaendelea kupiga chini misukule yote ya JPM na majizi mengine.
1. Wasiliana na CAG kama kule BOT kamaliza uchunguzi.
2. Muulize CDF alikuwa na "siri" gani aliyotaka kumwambia Rais Samia.
#kuna "watu" wanaweza kwenda jela!
Tusubiri.