minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wakitaka apaniki wamuulize takwimu za covid 19 NchiniMahojiano na CCM Dola Magufuli hakuna cha maana hapo ni mazingaombwe tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakitaka apaniki wamuulize takwimu za covid 19 NchiniMahojiano na CCM Dola Magufuli hakuna cha maana hapo ni mazingaombwe tu.
Ishu ya membe kakataa kujibu kaomba asijibuWakitaka apaniki wamuulize takwimu za covid 19 Nchini
Mbowe msanii kaona ataadhirikaBashiru Ally akimbiagi mijadala kama K-Vant aliemkimbia Hassan Ngoma.
CCM hawataki Elimu ikiue hata sasa covid 19 inaenea mashuleni kupitia school bus watoto wanabanana sana waziri wa Elimu kabariki vyote ili corona isambae wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuToka ajiunge na siasa na kuwa na nafasi aliyonayo sasa amekua mtu asiyeisimamia elimu yake
Wakitaka apaniki wamuulize takwimu za covid 19 Nchini
Hassan ngoma ni CCM tokea lini awe na maswali ya msingi zaidi ya sifia sifia tu, kwanza ana tuhuma ya kumwekea marehemu ruge slow poison ikamletea kansa iliyomuuaAlimkimbia Hassan ngoma labda aliogopa ishu ya kulewa kupita kiasi
CCM hii iliyosema hakuna kuiogopa Corona tupige kazi au ulimaanisha chadema waliosema tusifanye kazi tukae ndani kwa ajili ya Corona (sijui haya macha Domo walikuwa na Nia gani) Nani hapo ni muoga wa chaguzi? Bila shaka na Cha Domo, CCM Ni ile ile na ushindi Kama desturi ya CCM,tunasubiri tarehe tu tuwapige kotekote mbele na nyuma [emoji1787][emoji23][emoji2960]CCM wanaombea corona iamke upige kwa nguvu wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi ndiyo maana sasa hawahimizi kunawa mikono kupaka vitakasa mikono kuvaa barakoa
Hassan ngoma ni rafiki wa Naibu Rais Bashite lazima chadema wakae nao mbali asije kuwafanyia alichomfanyia Marehemu RugeBashiru Ally akimbiagi mijadala kama K-Vant aliemkimbia Hassan Ngoma.
CCM ni ile ile ya wizi zipo wapi trilion 1.5 zipo wapi bilion 12 za Ndungai, CCM mlisema hakuna corona mkiwa na lengo isambae kwanza ili mwezi wa nane na tisa watu wafe kwa wingi mpate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu, hamtangazi takwimu ili watu wajue hakuna corona waendelee kuambukizana waje kufa baadae.CCM hii iliyosema hakuna kuiogopa Corona tupige kazi au ulimaanisha chadema waliosema tusifanye kazi tukae ndani kwa ajili ya Corona (sijui haya macha Domo walikuwa na Nia gani) Nani hapo ni muoga wa chaguzi? Bila shaka na Cha Domo, CCM Ni ile ile na ushindi Kama desturi ya CCM,tunasubiri tarehe tu tuwapige kotekote mbele na nyuma [emoji1787][emoji23][emoji2960]
Akasema eti anambo ya kitaifaBashiru Ally akimbiagi mijadala kama K-Vant aliemkimbia Hassan Ngoma.
Huwezi jua kama sio mwanaCCM, fomu yetu huwa ni moja kwa wagombea wote, uRais, ubunge na udiwani.Aulizwe, " Kugombea kuongoza vyombo vya dola , maane yake nini? "
CCM bila vyombo vya dola hawana lolote .Akasema eti anambo ya kitaifa
Zipo wapi Bill 8 na ushee?CCM ni ile ile ya wizi zipo wapi trilion 1.5 zipo wapi bilion 12 za Ndungai, CCM mlisema hakuna corona mkiwa na lengo isambae kwanza ili mwezi wa nane na tisa watu wafe kwa wingi mpate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu, hamtangazi takwimu ili watu wajue hakuna corona waendelee kuambukizana waje kufa baadae.
Subirini mumsikie mwamba anavyounguruma mbona maogopa kabla!
Zipi? CAG hakuona kitu mmeforce Takukuru nao wameambulia patupu, ebu jaribu kuwaruhusu Takukuru wapite CCM makao makuu uone kivumbi hakuna CCM atapona wote ni jela upo ufisadi wa kutisha na pesa nyingi inapigwa kwa kisingizio cha kuwanunua wabunge madiwani kudhoofisha chadema kuwabambikia kesi na mengineyo, madalali wa siasa huko CCM wametajirika kwa mgongo wa kuihujumu chadema.Zipo wapi Bill 8 na ushee?
Karipie school bus mwanao apande sio kulialia mitandaoni unaiomba ccm ikusaidieCCM bila vyombo vya dola hawana lolote .