Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru Ally: Mgombea wa Urais ndani ya CCM ambae anaendelea hajawahi kupingwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru Ally: Mgombea wa Urais ndani ya CCM ambae anaendelea hajawahi kupingwa

Zipi? CAG hakuona kitu mmeforce Takukuru nao wameambulia patupu, ebu jaribu kuwaruhusu Takukuru wapite CCM makao makuu uone kivumbi hakuna CCM atapona wote ni jela upo ufisadi wa kutisha na pesa nyingi inapigwa kwa kisingizio cha kuwanunua wabunge madiwani kudhoofisha chadema kuwabambikia kesi na mengineyo, madalali wa siasa huko CCM wametajirika kwa mgongo wa kuihujumu chadema.
Tulia utaina ktakacho tokea
 
Sera kuu ya CCM ya sasa ni kumbatiana sogeleana shikana mikono hakuna kunawa mikono hakuna kupata vitakasa mikono kuvaa barakoa wanataka watanzania waendelee kuambukizana hovyo magonjwa mengine yote ikiwemo covid 19 kwa bidii kubwa isambae wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Toka ajiunge na siasa na kuwa na nafasi aliyonayo sasa amekua mtu asiyeisimamia elimu yake

Kila Chama kina katiba na secret policies zake, hawezi kwenda kinyume na Chama, so Elimu yake sio kigezo cha yeye kwenda kinyume na Katiba na Sera za Chama kilichompa ajira. Lazima na ww ujue hilo, sio kumlaumu tu, siasa za vitabuni Dr. Bashiru alizokuwa ana fundisha UD ni tofauti sana na siasa za field, hivyo ana kazi ya kubalance, but hawezi kwenda kinyume na Chama chake, kuna guidelines..
 
Ukiingia CCM hata kama ulisoma vipi Taaluma yote inafutika unabakia na Akili kama za Msukuma na kibajaji
 
Tido alikuwa ni yule wa BBC NA TBC1 huyu wa sasa ni sawa na Juma Nkamia...anauliza simple questions sana .
Yani hampi muulizwa swali kutafakari.
 
Hakika ni mahojiano bora kabisa niliyowahi kuyaona, tido alikuwa anadondosha nondo, sema bashiru anazikwepa
 
Ukiingia CCM hata kama ulisoma vipi Taaluma yote inafutika unabakia na Akili kama za Msukuma na kibajaji

Si kweli 😂 Unaionea tu CCM, sisi ndio wa kuisemea, CCM haiko hivyo, madhaifu ya mtu mmoja au wawili sio udhaifu wa CCM.. be clear on that.
 
CCM wanasaka kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu kwa udi na uvumba na sasa wameacha kutangaza takwimu za corona makusudi ili watanzania waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio
Ubongo uliojaa minyoo katika ubora wake. Wee na minyoo yako kichwani mbona hujaambukizwa Corona virus.
 
So akitokea Rais fedhuli, fisadi, muuaji na asieheshimu katiba ya nchi mtampitisha kwa kigexo cha kuwa Rais anaendelea hapingwi?!!
 
Hana jipya zaidi ya kutambia nguvu za dola. Bashiru kabla ya kupata madaraka ndani ya ccm alikuwa anajenga hoja za ushawishi, baada ya kupewa madaraka na Magufuli, na yeye anamuiga ili aonekane anaenda sawa naye. Matokeo yake kageuka kuwa mchekeshaji wa mfalme.
Ndio siasa za bongo hakuna aliye mkweli fisadi anapogeuka malaika akiwa chadema!
 
Back
Top Bottom