Sumve, hebu tuambie basi maana ya kuongoza vyombi vya dola...maana yake ni nini? Nilidhani kugombea kuongoza wananchi na nchi yetu pendwaHuwezi jua kama sio mwanaCCM, fomu yetu huwa ni moja kwa wagombea wote, uRais, ubunge na udiwani. View attachment 1500928
Tulia utaina ktakacho tokeaZipi? CAG hakuona kitu mmeforce Takukuru nao wameambulia patupu, ebu jaribu kuwaruhusu Takukuru wapite CCM makao makuu uone kivumbi hakuna CCM atapona wote ni jela upo ufisadi wa kutisha na pesa nyingi inapigwa kwa kisingizio cha kuwanunua wabunge madiwani kudhoofisha chadema kuwabambikia kesi na mengineyo, madalali wa siasa huko CCM wametajirika kwa mgongo wa kuihujumu chadema.
Toka ajiunge na siasa na kuwa na nafasi aliyonayo sasa amekua mtu asiyeisimamia elimu yake
Takukuru waanza kukagua CCM makao makuuTulia utaina ktakacho tokea
Ukiingia CCM hata kama ulisoma vipi Taaluma yote inafutika unabakia na Akili kama za Msukuma na kibajajiKila Chama kina katiba na secret policies zake, hawezi kwenda kinyume na Chama, so Elimu yake sio kigezo cha yeye kwenda kinyume na Katiba na Sera za Chama kilichompa ajira. Lazima na ww ujue hilo, sio kumlaumu tu, siasa za vitabuni Dr. Bashiru alizokuwa ana fundisha UD ni tofauti sana na siasa za field, hivyo ana kazi ya kubalance, but hawezi kwenda kinyume na Chama chake, kuna guidelines..
Acha uwongo basi jirani.Hassan ngoma ni rafiki wa Naibu Rais Bashite lazima chadema wakae nao mbali asije kuwafanyia alichomfanyia Marehemu Ruge
Ukiingia CCM hata kama ulisoma vipi Taaluma yote inafutika unabakia na Akili kama za Msukuma na kibajaji
Ubongo uliojaa minyoo katika ubora wake. Wee na minyoo yako kichwani mbona hujaambukizwa Corona virus.CCM wanasaka kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu kwa udi na uvumba na sasa wameacha kutangaza takwimu za corona makusudi ili watanzania waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio
We na minyoo yako kichwani unamzidi Msukuma au Kibajaji akili?Ukiingia CCM hata kama ulisoma vipi Taaluma yote inafutika unabakia na Akili kama za Msukuma na kibajaji
Ndio siasa za bongo hakuna aliye mkweli fisadi anapogeuka malaika akiwa chadema!Hana jipya zaidi ya kutambia nguvu za dola. Bashiru kabla ya kupata madaraka ndani ya ccm alikuwa anajenga hoja za ushawishi, baada ya kupewa madaraka na Magufuli, na yeye anamuiga ili aonekane anaenda sawa naye. Matokeo yake kageuka kuwa mchekeshaji wa mfalme.
kwani hajawekewa?Swali la kipuuzi kabisa huwa hakuna mawazo ya maana chadema
nani alimuwekea sumu MZEE MANGULA NA KWANNNdio siasa za bongo hakuna aliye mkweli fisadi anapogeuka malaika akiwa chadema!
Mangula aliwekewa sumu na mapandikizi ya Membe ,hutaki unaachaTido popote ulipo usiache kumuuliza zile tuhuma zinazomkabili huyu Bashiru za kumuwekea sumu Mzee Phillip Mangula.
Wafungwa ni sehemu ya wana ccmTido
Muulize kwanini wanatumia wafungwa kupandisha bendera za Ccm Dodoma? Au ndio ile fomu yao ya kuomba kuongoza dola??
Maana yake ni Kuongoza Jamuhuri ya muungano wa TZAulizwe, " Kugombea kuongoza vyombo vya dola , maane yake nini? "