Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru Ally: Mgombea wa Urais ndani ya CCM ambae anaendelea hajawahi kupingwa

Hakika ni mahojiano bora kabisa niliyowahi kuyaona, tido alikuwa anadondosha nondo, sema bashiru anazikwepa

Kimsingi Bashiru alikuwa anatoa majibu na sio majawabu. Mfano ukiulizwa 2+2 unaweza kusema jibu ni tano, lakini jawabu ni 4.
 
mjadala ulikuwa wa kisiasa zaidi majibu binafsi sikuyaelewa! ila kitu kizuri alithibitisha Rais hataongeza muda!
 
Huyo ambae hajawahi pingwa kashindanishwa na nani ndani ya chama?
 
Hii ndio tafsiri halisi ya kujitekenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…