Dkt. Bashiru Ally, Mjamaa aliyeshindwa kutuonesha ujamaa kwenye Uchaguzi

Hiyo ni "initial stage" tu ya hicho kitambulisho na ndo maana raisi JPM amesema watakiboresha.

Kwa sasa hicho kitambulisho ni kama ID ingine tu ya kawaida ila wakiweka features zingine muhimu kama "unique biological features" na alama zingine za siri, itakuwa ni ngumu kukihujumu, au kutumiwa na watu zaidi ya mmoja.

Hivyo bado maono za JPM yalipa na yahitaji kuungwa mkono.
 
Initial stage isiyo na vitu basic kama jina, jinsia na risiti ya mauzo ni initial stage ipi?

Huhitaji kuwa na PhD ili kujua kuwa vitu vya msingi kabisa vya kitambulisho chochote duniani ni kuwa na jina,picha na jinsia ya mtu, nje ya hapo ni kanyanga kama zilivyo kanyanga nyingine tu za watoto wa mjini!

Sasa kitambulisho kischo na jina, picha na jinsia kitamtambulishaje mtu?
 
Bashiru siyo mjamaa,matendo yake hayashabiani na maneno yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…