Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Rais Samia ameelemewa amechoshwa na kundi la wanyonyaji wanaojipendekeza kwake ili wapendelewe kwenye biashara zao Hali hii Samia na wenye nchi hawapendezwi nayo hata kidogo Taifa linalea vijana wa kujipendekeza kulinda nafasi zao haijalishi hata kama ni uongo kiasi gani.
Samia hapendezwi hata siku moja na nyie walamba asali mnamuingilia kwenye kazi zake wenye nchi watakuwa wamempa Baraka zote Dr Bashiru kutoa onyo kwa machawa na kwa wanyonyaji wachache wanaomshika mkono Samia na kupamba wanyonyaji hyku wakiacha mamilioni ya Watanzania wanateseka.