Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Wakubali basi Katiba ya Warioba irudi na kuwa ndiyo Katiba ya nchi, bila hivuo lazima itabakia hivyo kwakua ni kwakujipendekeza tu ndiyo unaweza kufikia chungu cha asali na siyo kupata watenda kazi waadilifu kwakua watendaji asilimia karibu 100 anawateua mtu mmoja direct or indirect sasa wataachaje kumsifia? Ni mfumo na siyo kosa la individualsRais Samia ameelemewa amechoshwa na kundi la wanyonyaji wanaojipendekeza kwake ili wapendelewe kwenye biashara zao Hali hii Samia na wenye nchi hawapendezwi nayo hata kidogo Taifa linalea vijana wa kujipendekeza kulinda nafasi zao haijalishi hata kama ni uongo kiasi gani.
Samia hapendezwi hata siku moja na nyie walamba asali mnamuingilia kwenye kazi zake wenye nchi watakuwa wamempa Baraka zote Dr Bashiru kutoa onyo kwa machawa na kwa wanyonyaji wachache wanaomshika mkono Samia na kupamba wanyonyaji hyku wakiacha mamilioni ya Watanzania wanateseka.
Mmmmmh hayaMbona mikoa inashindana Kwa mapambio amekaa kimya? Juzi ilikuwa Mbeya eti viongozi wa dini wameandaa kongamano la pongezi. Wiki ijayo nasikia kina mama wa Rukwa wameandaa kongamano la sifa na zawadi na Kila atakayeshiriki ameamriwa mchango na Sare atanunua.
Rais Samia ameelemewa amechoshwa na kundi la wanyonyaji wanaojipendekeza kwake ili wapendelewe kwenye biashara zao Hali hii Samia na wenye nchi hawapendezwi nayo hata kidogo Taifa linalea vijana wa kujipendekeza kulinda nafasi zao haijalishi hata kama ni uongo kiasi gani.