Usalama wa viongozi wewe unaujua?Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.
Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni kana kwamba hii nchi iko mikononi mwake na haogopi vyombo vya sheria na dola (ambavyo aliwahi kudai angetumia kubaki madarakani utawala uliopita)
Lakini pia anachofanya ni kuchochea mapambano, uasi, na matumizi ya njia za kuumizana katika mifumk yetu ya kidemokrasia. Maandano ndio kitu kikubwa Tanzania kimewahi kufanyika na kuogopwa lakini sio KUTISHIA USALAMA WA VIONGOZI
Kwa hali ya kawaida mtu ambaye ni mgeni katika chama na kuhudumu katika serikali kwa muda mfupi kuwa na kiburi cha kutishia Usalama wa kiongozi wa nchi bila woga
Tumeshaona viongozi kadhaa wa upinzani tangu tunapata uhuru waliosumbua lakini hakuna ambaye amewahi kutishia Usalama wa Kiongozi wa nchi.
Tusilitazame ili jambo au kauli katika jicho la kisiasa tu
Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
Kwakuwa tu hupendi ukweli sio? Huo ndio ukweli, kila mtu huvuna alichopanda. Umekereka sana saga chupa unywe.Nonsense!.
kuni mbichi zitawaibua tu mmoja mmoja, na bado !!! Mh. Bushiru washaanza kutoa pua, koleza baba koleza !!Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
Huyu Bibi katengeneza taifa la machawa tupu. Kutwa kucha kusifia upuuzi tu.Tuna taifa la watu wapumbavu sana hakika. Hio nguvu mngeitumia kuyasema matatizo ya nishati za umeme na maji unadhani ingekuaje? Acheni upumbavu kabisa nyie mnaojipendekeza pendekeza.
Walamba asali mkuki umewakita vizuri, ninyi huwa hampendi kuambiwa ukweli.Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.
Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni kana kwamba hii nchi iko mikononi mwake na haogopi vyombo vya sheria na dola (ambavyo aliwahi kudai angetumia kubaki madarakani utawala uliopita)
Lakini pia anachofanya ni kuchochea mapambano, uasi, na matumizi ya njia za kuumizana katika mifumk yetu ya kidemokrasia. Maandano ndio kitu kikubwa Tanzania kimewahi kufanyika na kuogopwa lakini sio KUTISHIA USALAMA WA VIONGOZI
Kwa hali ya kawaida mtu ambaye ni mgeni katika chama na kuhudumu katika serikali kwa muda mfupi kuwa na kiburi cha kutishia Usalama wa kiongozi wa nchi bila woga
Tumeshaona viongozi kadhaa wa upinzani tangu tunapata uhuru waliosumbua lakini hakuna ambaye amewahi kutishia Usalama wa Kiongozi wa nchi.
Tusilitazame ili jambo au kauli katika jicho la kisiasa tu
Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
Hakuna mahali katishia usalama ni vile hujamwelewa au ni kwa sababu mlishazoea kusifiana hata pasipostahili, pole sana mkuu.Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.
Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni kana kwamba hii nchi iko mikononi mwake na haogopi vyombo vya sheria na dola (ambavyo aliwahi kudai angetumia kubaki madarakani utawala uliopita)
Lakini pia anachofanya ni kuchochea mapambano, uasi, na matumizi ya njia za kuumizana katika mifumk yetu ya kidemokrasia. Maandano ndio kitu kikubwa Tanzania kimewahi kufanyika na kuogopwa lakini sio KUTISHIA USALAMA WA VIONGOZI
Kwa hali ya kawaida mtu ambaye ni mgeni katika chama na kuhudumu katika serikali kwa muda mfupi kuwa na kiburi cha kutishia Usalama wa kiongozi wa nchi bila woga
Tumeshaona viongozi kadhaa wa upinzani tangu tunapata uhuru waliosumbua lakini hakuna ambaye amewahi kutishia Usalama wa Kiongozi wa nchi.
Tusilitazame ili jambo au kauli katika jicho la kisiasa tu
Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
We ni mpumbavu kwa kweli.anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe.
Apigwe apigwe tuKukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.
Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni kana kwamba hii nchi iko mikononi mwake na haogopi vyombo vya sheria na dola (ambavyo aliwahi kudai angetumia kubaki madarakani utawala uliopita)
Lakini pia anachofanya ni kuchochea mapambano, uasi, na matumizi ya njia za kuumizana katika mifumk yetu ya kidemokrasia. Maandano ndio kitu kikubwa Tanzania kimewahi kufanyika na kuogopwa lakini sio KUTISHIA USALAMA WA VIONGOZI
Kwa hali ya kawaida mtu ambaye ni mgeni katika chama na kuhudumu katika serikali kwa muda mfupi kuwa na kiburi cha kutishia Usalama wa kiongozi wa nchi bila woga
Tumeshaona viongozi kadhaa wa upinzani tangu tunapata uhuru waliosumbua lakini hakuna ambaye amewahi kutishia Usalama wa Kiongozi wa nchi.
Tusilitazame ili jambo au kauli katika jicho la kisiasa tu
Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.

Hata mimi ningependa kusikia alichosema ili nijue tatizo liko wapiKwani Bashiru kasemaje?
Huyu ni rahisi au rais?Bashiru na mjinga mmoja tu huwezi mtishia raisi kindezi hivyo. Mbona wakati akiwa na buyu la asali wakati wa jiwe hakuyasema haya? Kwani wakulima wa nchi hii lini walikuwa na afueni ya maisha?
Mawazo na akili yako ni kama vile umekulia kwenye zile siasa za ujamaa na kujitegemea. This is not North Korea, China or Russia. It's Tanzania Bro!Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.