Dkt. Bashiru anatoa wapi ujasiri wa kutishia 'usalama' wa viongozi wa juu? Huu ni uhaini sio ukosoaji. Je, ana mahusiano na mataifa ya nje?

Ndio ana mahusiano na nchi za nje ya wale walamba asali na chawa wao.
 
Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.

Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni kana kwamba hii nchi iko mikononi mwake na haogopi vyombo vya sheria na dola (ambavyo aliwahi kudai angetumia kubaki madarakani utawala uliopita)

Lakini pia anachofanya ni kuchochea mapambano, uasi, na matumizi ya njia za kuumizana katika mifumk yetu ya kidemokrasia. Maandano ndio kitu kikubwa Tanzania kimewahi kufanyika na kuogopwa lakini sio KUTISHIA USALAMA WA VIONGOZI

Kwa hali ya kawaida mtu ambaye ni mgeni katika chama na kuhudumu katika serikali kwa muda mfupi kuwa na kiburi cha kutishia Usalama wa kiongozi wa nchi bila woga

Tumeshaona viongozi kadhaa wa upinzani tangu tunapata uhuru waliosumbua lakini hakuna ambaye amewahi kutishia Usalama wa Kiongozi wa nchi.

Tusilitazame ili jambo au kauli katika jicho la kisiasa tu

Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
Usalama wa viongozi wewe unaujua?
Acha kujibebesha tenga la nyanya mbovu
 
Sisi wananchi tunataka majibu ya hoja zake, masuala ya sijui nje ya nchi yamekujaje? Tunataka majibu haraka.
 
Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
kuni mbichi zitawaibua tu mmoja mmoja, na bado !!! Mh. Bushiru washaanza kutoa pua, koleza baba koleza !!
 
Tuna taifa la watu wapumbavu sana hakika. Hio nguvu mngeitumia kuyasema matatizo ya nishati za umeme na maji unadhani ingekuaje? Acheni upumbavu kabisa nyie mnaojipendekeza pendekeza.
Huyu Bibi katengeneza taifa la machawa tupu. Kutwa kucha kusifia upuuzi tu.
 
Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.

Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni kana kwamba hii nchi iko mikononi mwake na haogopi vyombo vya sheria na dola (ambavyo aliwahi kudai angetumia kubaki madarakani utawala uliopita)

Lakini pia anachofanya ni kuchochea mapambano, uasi, na matumizi ya njia za kuumizana katika mifumk yetu ya kidemokrasia. Maandano ndio kitu kikubwa Tanzania kimewahi kufanyika na kuogopwa lakini sio KUTISHIA USALAMA WA VIONGOZI

Kwa hali ya kawaida mtu ambaye ni mgeni katika chama na kuhudumu katika serikali kwa muda mfupi kuwa na kiburi cha kutishia Usalama wa kiongozi wa nchi bila woga

Tumeshaona viongozi kadhaa wa upinzani tangu tunapata uhuru waliosumbua lakini hakuna ambaye amewahi kutishia Usalama wa Kiongozi wa nchi.

Tusilitazame ili jambo au kauli katika jicho la kisiasa tu

Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
Walamba asali mkuki umewakita vizuri, ninyi huwa hampendi kuambiwa ukweli.
 
Hakuna mahali katishia usalama ni vile hujamwelewa au ni kwa sababu mlishazoea kusifiana hata pasipostahili, pole sana mkuu.
 
anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe.
We ni mpumbavu kwa kweli.

Umejazia nyama hapa , umetoa wapi haya maneno??

Upumbavu huu.

Rudisheni umeme punguzeni mfumoko wa bei, Acheni upuuzi
 
Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.

Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni kana kwamba hii nchi iko mikononi mwake na haogopi vyombo vya sheria na dola (ambavyo aliwahi kudai angetumia kubaki madarakani utawala uliopita)

Lakini pia anachofanya ni kuchochea mapambano, uasi, na matumizi ya njia za kuumizana katika mifumk yetu ya kidemokrasia. Maandano ndio kitu kikubwa Tanzania kimewahi kufanyika na kuogopwa lakini sio KUTISHIA USALAMA WA VIONGOZI

Kwa hali ya kawaida mtu ambaye ni mgeni katika chama na kuhudumu katika serikali kwa muda mfupi kuwa na kiburi cha kutishia Usalama wa kiongozi wa nchi bila woga

Tumeshaona viongozi kadhaa wa upinzani tangu tunapata uhuru waliosumbua lakini hakuna ambaye amewahi kutishia Usalama wa Kiongozi wa nchi.

Tusilitazame ili jambo au kauli katika jicho la kisiasa tu

Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
Apigwe apigwe tu
 
Mkuu, tafsiri yako umeiokota umeiokota wapi?

Bashiru na mjinga mmoja tu huwezi mtishia raisi kindezi hivyo. Mbona wakati akiwa na buyu la asali wakati wa jiwe hakuyasema haya? Kwani wakulima wa nchi hii lini walikuwa na afueni ya maisha?
Huyu ni rahisi au rais?

Nimeuliza si kwa ubaya, wakulima wakutengenezwa wameandamana Posta, sijui ndio mashamba yalipo.
 
Mtoa mada ungetumia akili kufikiri ungesaidia sana taifa hili.But now tumbocracy and ignorance feature you.
 
Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.

Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni kana kwamba hii nchi iko mikononi mwake na haogopi vyombo vya sheria na dola (ambavyo aliwahi kudai angetumia kubaki madarakani utawala uliopita)

Lakini pia anachofanya ni kuchochea mapambano, uasi, na matumizi ya njia za kuumizana katika mifumk yetu ya kidemokrasia. Maandano ndio kitu kikubwa Tanzania kimewahi kufanyika na kuogopwa lakini sio KUTISHIA USALAMA WA VIONGOZI

Kwa hali ya kawaida mtu ambaye ni mgeni katika chama na kuhudumu katika serikali kwa muda mfupi kuwa na kiburi cha kutishia Usalama wa kiongozi wa nchi bila woga

Tumeshaona viongozi kadhaa wa upinzani tangu tunapata uhuru waliosumbua lakini hakuna ambaye amewahi kutishia Usalama wa Kiongozi wa nchi.

Tusilitazame ili jambo au kauli katika jicho la kisiasa tu

Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
Mawazo na akili yako ni kama vile umekulia kwenye zile siasa za ujamaa na kujitegemea. This is not North Korea, China or Russia. It's Tanzania Bro!
 
Wakili msomi Fatma karume kashatoa opinion zake kwenye hili. Re visit twitter ya fatma anadai kuna nguvu nyuma ya bashiru invicible force i na anafanya hivyo kushusha approval ratings zilizochangiwa kuanzishwa na ukame wa maji na umeme.

Eti ni ligi ya 2025 election.
 
Ameishikilia mkononi ripoti ya ubadhilifu wa mali za chama chawala, hakuna wa kumgusa, labda kama anataka anuke
 
Back
Top Bottom