Tayizo nape anadhani kila mtu anaishi kwa kulamba miguu wakubwa kama yeye alivyovuja jasho kutoka getini hadi ikulu kwa miguu akivuja jasho ili kumlamba Magu miguu amfikirie tena.Wameanza kumjadili kwenye vikao vya familiaView attachment 2421381
Basi tumekubaliana sio freethinker yy na profesa wa majalalan ni wamojaKusema yenyewe kuwa hataki cheo cha juu tena ni uhuru wa mawazo na akili. We unaweza kumuambia bosi wako kwa hapa nilipofikia sitaki tena cheo?? Yaani vuta picha wewe hapo unamuambia bosi wako.
Ungeona anabembeleza apewe nafasi. Huyo Magu alikuwa anamuomba kumpa nafasi.Basi tumekubaliana sio freethinker yy na profesa wa majalalan ni wamoja
Vijana wa uvccm muwe mnauliza ,huyu na magu ni marafiki toka anasoma phd fake magu ud walikuwa nccr magu ,mvungi,kabudi,mkumbo ..alikjwa anafurahia upendeleo tuUngeona anabembeleza apewe nafasi. Huyo Magu alikuwa anamuomba kumpa nafasi.
Hiyo ni kwa mujibu wa kutu ya ubongo wako. Si lazima kila mtu umuambukize.Vijana wa uvccm muwe mnauliza ,huyu na magu ni marafiki toka anasoma phd fake magu ud walikuwa nccr magu ,mvungi,kabudi,mkumbo ..alikjwa anafurahia upendeleo tu
Mm magu namjua vyema mwehu toka chuoHiyo ni kwa mujibu wa kutu ya ubongo wako. Si lazima kila mtu umuambukize.
Kumjua mwanaume mwenzio nalo ni tatizo jingine.Mm magu namjua vyema mwehu toka chuo
Kitendo cha bashiru kukubali ule ubunge wakuteuliwa tayari alikua is kneeling kupata favour, kwa hiyo lini kasimama senior Lecturer wa chuo kikuu mzima ni chawa tuHuenda he is ready for the worse !! Come what may ! Che guevara alisema “ its better to die standing than to live kneeling “. !!
Fedha fedheha !! Ngoja tuone !!Kitendo cha bashiru kukubali ule ubunge wakuteuliwa tayari alikua is kneeling kupata favour, kwa hiyo lini kasimama senior Lecturer wa chuo kikuu mzima ni chawa tu
Unaweza kutukumbusha kidogo.Dr Bashiru ni freemind, hategemei hisani kama uvccm. Ndio maana pamoja na kupewa ukatibu mkuu wa ccm na Magu ila bado alikuwa anaongea maneno yenye ukakasi mno dhidi ya ccm.
Labda anayo back up somewhere !!Huyu kajipiga risasi
Labda aliposema ndani ya Ccm wapo walioiba na kujimilikisha mali za chama !!Unaweza kutukumbusha kidogo.
You cant fight a seating president and winLabda anayo back up somewhere !!
Kwani nani asiejua kuwa bashiru na kundi lake wanaropoka kwa sababu ya hasira za kukosa ulaji kwenye serikali ya mama samiaNi mtu mzima, Ana elimu yake na anajua alichosema, sidhani kama karopoka
Siku moja aliongea live kuwa hatuwezi kubadilisha mihura ya Utawala kama Chama.Dr Bashiru ni freemind, hategemei hisani kama uvccm. Ndio maana pamoja na kupewa ukatibu mkuu wa ccm na Magu ila bado alikuwa anaongea maneno yenye ukakasi mno dhidi ya ccm.
Tafuta youtube na baadhi ya post humu zipo.Unaweza kutukumbusha kidogo.