Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

Kusema yenyewe kuwa hataki cheo cha juu tena ni uhuru wa mawazo na akili. We unaweza kumuambia bosi wako kwa hapa nilipofikia sitaki tena cheo?? Yaani vuta picha wewe hapo unamuambia bosi wako.
Basi tumekubaliana sio freethinker yy na profesa wa majalalan ni wamoja
 
Ungeona anabembeleza apewe nafasi. Huyo Magu alikuwa anamuomba kumpa nafasi.
Vijana wa uvccm muwe mnauliza ,huyu na magu ni marafiki toka anasoma phd fake magu ud walikuwa nccr magu ,mvungi,kabudi,mkumbo ..alikjwa anafurahia upendeleo tu
 
Vijana wa uvccm muwe mnauliza ,huyu na magu ni marafiki toka anasoma phd fake magu ud walikuwa nccr magu ,mvungi,kabudi,mkumbo ..alikjwa anafurahia upendeleo tu
Hiyo ni kwa mujibu wa kutu ya ubongo wako. Si lazima kila mtu umuambukize.
 
BASHIRU ALLY KAKURWA NI MUHUNI NA MJANJA MJANJA

HAJUI ANASIMAMIA NINI NAOMBA CCM WAMVUE UBUNGE ARUDI UDSM AFUNDISHE SIASA.
 
Huenda he is ready for the worse !! Come what may ! Che guevara alisema “ its better to die standing than to live kneeling “. !!
Kitendo cha bashiru kukubali ule ubunge wakuteuliwa tayari alikua is kneeling kupata favour, kwa hiyo lini kasimama senior Lecturer wa chuo kikuu mzima ni chawa tu
 
Kitendo cha bashiru kukubali ule ubunge wakuteuliwa tayari alikua is kneeling kupata favour, kwa hiyo lini kasimama senior Lecturer wa chuo kikuu mzima ni chawa tu
Fedha fedheha !! Ngoja tuone !!
 
Dr Bashiru ni freemind, hategemei hisani kama uvccm. Ndio maana pamoja na kupewa ukatibu mkuu wa ccm na Magu ila bado alikuwa anaongea maneno yenye ukakasi mno dhidi ya ccm.
Unaweza kutukumbusha kidogo.
 
Ni mtu mzima, Ana elimu yake na anajua alichosema, sidhani kama karopoka
Kwani nani asiejua kuwa bashiru na kundi lake wanaropoka kwa sababu ya hasira za kukosa ulaji kwenye serikali ya mama samia
 
Dr Bashiru ni freemind, hategemei hisani kama uvccm. Ndio maana pamoja na kupewa ukatibu mkuu wa ccm na Magu ila bado alikuwa anaongea maneno yenye ukakasi mno dhidi ya ccm.
Siku moja aliongea live kuwa hatuwezi kubadilisha mihura ya Utawala kama Chama.

Lazima katiba ifatwe...wiki iliyofuata akateuliwa kuwa CS(KK) akatolewa u KMK
 
Back
Top Bottom