Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.

Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc

Time will tell!
Ukiona fukuto linatoka nje jua huko ndani joto limezidi
 
mazezeta ya ccm yamegongwa nyundo ya kichwa na bashiru yamebaki yamekodoa macho kodo.
 
Kukosowa kuwe kwa staha.
Ukweli hauzungumzwi tu kimuhemko.
Angalia unazungumza WAPI,WAKATI GANI,VIPI, na kwa NANI. Ukipata busara hiyo hakuna atakae kulaumu.
Kusema haupigi mwingi ndy kakosa staha?

Hii ni inchi ya demokrasia Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake

Na ndy maana Kuna vyama vya upinzani..

Tukubali kukosolewa Ili tujuwe makosa yetu..

Sisi sote ni binadamu hatujakamilika.
 
Nchi hii ina watu wa hovyo sana kwaio kosa la Bashiru ni kuongea anachokiamini hivi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…