PETER THE ROCK
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 528
- 807
But will the sitting President win if he/she fights everybody, including the architects of the previous wins!?You cant fight a seating president and win
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But will the sitting President win if he/she fights everybody, including the architects of the previous wins!?You cant fight a seating president and win
What is winning ?You cant fight a seating president and win
Natamani aendelee kuwabomoa.Dr Bashiru ni freemind, hategemei hisani kama uvccm. Ndio maana pamoja na kupewa ukatibu mkuu wa ccm na Magu ila bado alikuwa anaongea maneno yenye ukakasi mno dhidi ya ccm.
Grateful for the assurance but in the "safe hands" of who; the ballot handlers or the voters?She is in safe hands
Let it sink inGrateful for the assurance but in the "safe hands" of who; the ballot handlers or the voters?
We humjui babako ,vitoto vya ifm mnakeraKumjua mwanaume mwenzio nalo ni tatizo jingine.
Kukosowa kuwe kwa staha.Hivi kama hakuna binadamu mkamilifu kwann binadamu hataki akosolewe?.
Inafikirisha sn.
We unamjua?We humjui babako ,vitoto vya ifm mnakera
Acheni watumishi wachache nao wale hivyo viposho vya uongo na kweli, maana wengi ni wale ambao unakuta hajawahi kuiona posho mwaka mzima.Dr. Bashiru Ally Yuko Sahihi.
Mambo yanayofanywa Sasa ni ya ajabu sana.
Makamu wa Rais anatumia fedha za umma kwenda kushiriki michezo ya watumishi wa umma waliotoroka maofisini kwenda kuvuta kamba Tena Kwa gharama za serikali. Ni mambo Gani hayo. Nchi Vijana hawana halafu unakusanya wafanyakazi ambao walipaswa kukaa ofisini kutatua Kero za wananchi kwenda kuruka ruka na kufanya anasa Kwa Kodi za wananchi.
Makamu wa Rais Mchumi aliyebobea haoni kuwa Wanafunzi wa vyuo hawana pesa hata za kukopeshwa achilia mbali za kusomeshwa Bure kama wale wa Shule za msingi na sekondari. Mzazi alishindwa kumsomesha mtoto Sekondari Leo anafika Chuo anaambiwa ada ni Mili mbili. Alishindwa ada ya Elfu Ishirini atawezaje kupata mil. Mbili?
DR. BASHIRU ALLY sema usiogope.
Nuru na Giza haviwezi kukaa pamoja.
Ndio shida ya watoto humu ndani, hawana adabu na wanadhani wote ni watoto wenzao!Kuwa na adabu, mimi niwe UVCCM!
Hana lolote ,nje ya ccm huyu hana tofauti na mimiMnadhani kaongea kwa bahati mbaya tu? It's a calculated move