Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

Hatuna Maji, Umeme, Bei juu, hakuna Mwarobaini unaotafutwa alafu hawa future leaders wanahangaika na mtu anaye-perform his freedom of speech?

Kweli leo ni afadhari ya kesho yetu kama hawa ndio future !!!
 
You cant fight a seating president and win
What is winning ?

Sometimes the only judge is yourself and your conscious, doing what you think is right..., Hence Mandela was winning in Prison whatever the outcome might have been...

Kuliko kuwa na kundi hili la walamba asali na wauza nchi ni bora ukafukuzwa na kurudi kwenu kufanya mengine (not being a part of something you are against is winning in my book and not otherwise)
 
Dr Bashiru ni freemind, hategemei hisani kama uvccm. Ndio maana pamoja na kupewa ukatibu mkuu wa ccm na Magu ila bado alikuwa anaongea maneno yenye ukakasi mno dhidi ya ccm.
Natamani aendelee kuwabomoa.
 
Dr. Bashiru Ally Yuko Sahihi.

Mambo yanayofanywa Sasa ni ya ajabu sana.

Makamu wa Rais anatumia fedha za umma kwenda kushiriki michezo ya watumishi wa umma waliotoroka maofisini kwenda kuvuta kamba Tena Kwa gharama za serikali. Ni mambo Gani hayo. Nchi Vijana hawana halafu unakusanya wafanyakazi ambao walipaswa kukaa ofisini kutatua Kero za wananchi kwenda kuruka ruka na kufanya anasa Kwa Kodi za wananchi.
Makamu wa Rais Mchumi aliyebobea haoni kuwa Wanafunzi wa vyuo hawana pesa hata za kukopeshwa achilia mbali za kusomeshwa Bure kama wale wa Shule za msingi na sekondari. Mzazi alishindwa kumsomesha mtoto Sekondari Leo anafika Chuo anaambiwa ada ni Mili mbili. Alishindwa ada ya Elfu Ishirini atawezaje kupata mil. Mbili?

DR. BASHIRU ALLY sema usiogope.
Nuru na Giza haviwezi kukaa pamoja.
 
hana Cha kupoteza na ule ubunge wa mchongo ilikuwa kama dharau sema aliona sio jambo jema kumkatalia rais kwenye teuzi za wazi.

chukueni limama. lenu muende.

tukutane wakati ujao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kama hakuna binadamu mkamilifu kwann binadamu hataki akosolewe?.

Inafikirisha sn.
Kukosowa kuwe kwa staha.
Ukweli hauzungumzwi tu kimuhemko.
Angalia unazungumza WAPI,WAKATI GANI,VIPI, na kwa NANI. Ukipata busara hiyo hakuna atakae kulaumu.
 
Awamu hii ukizungumza tu wanakutengeneza haraka.

Tusubirie tu kusikia watatumia njia gani kumshughulikia maana wenye mamlaka hawataki changamoto zozote zile.
 
Ukiondoa malawi, ni nchi gani nyingine inahitaji balozi........nasubiri show ya msuto kutoka kwa chifu, bashiru kauingia mtumbwi wa vibwengo.
 
Dr. Bashiru Ally Yuko Sahihi.

Mambo yanayofanywa Sasa ni ya ajabu sana.

Makamu wa Rais anatumia fedha za umma kwenda kushiriki michezo ya watumishi wa umma waliotoroka maofisini kwenda kuvuta kamba Tena Kwa gharama za serikali. Ni mambo Gani hayo. Nchi Vijana hawana halafu unakusanya wafanyakazi ambao walipaswa kukaa ofisini kutatua Kero za wananchi kwenda kuruka ruka na kufanya anasa Kwa Kodi za wananchi.
Makamu wa Rais Mchumi aliyebobea haoni kuwa Wanafunzi wa vyuo hawana pesa hata za kukopeshwa achilia mbali za kusomeshwa Bure kama wale wa Shule za msingi na sekondari. Mzazi alishindwa kumsomesha mtoto Sekondari Leo anafika Chuo anaambiwa ada ni Mili mbili. Alishindwa ada ya Elfu Ishirini atawezaje kupata mil. Mbili?

DR. BASHIRU ALLY sema usiogope.
Nuru na Giza haviwezi kukaa pamoja.
Acheni watumishi wachache nao wale hivyo viposho vya uongo na kweli, maana wengi ni wale ambao unakuta hajawahi kuiona posho mwaka mzima.
 
It's a shame!!
Kumbe hutakiwi kumsema rais na hutakiwi kusema ukweli.
So sad mtu anakaa anaanzisha bandiko eti atatoka kamsema rais, itakuwa kama ilivyomtokea Ndugai. Yes kamsema Rais na wateule wake kwani kaongea Uongo?
 
Sisi watanzania tumelaaniwa si bure, tunaka tunalialia kama watoto wadogo dhidi ya matendo machafu ya watawala na kuishi kuzunguka tu. Akitokea wa kuja kusimama na kusema wazi sote tunarudi nyuma na kuanza kujifanya hatuguswi na yaliyosemwa. Nchi zingine na kwa hari kama hii ndo wakati sahihi wa raia kuonesha umoja wao kwa wale wanaosimama nao kuwatetea lakini hapa Tz sijui kwanini kuna kuogopana kiasi hiki.

Sahivi Dr. Bashiru anaonekana yuko kule kasimama pekee yake japo aliyoyaongea yanawagusa walio wengi, watu wanajitenga nae.
Alivyotoka Ndugai akanena mazito badala ya raia kuungana naye aliishia kukosa msaada wa kupewa nguvu, tuna watu walio tayari kudhubutu lakini sie walala hoi ndo hatujielewi kumbe.

Huu ni unafiki mkubwa sana na ni aheri basi tukakaa kimya tu kwani hakuna lolote la maana tunaloliweza kwa nchi yetu
 
Back
Top Bottom