BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Utabaki ukijifariji hivyohivyo. Wewe uwe sawa na Dr Bashiru kwa lipi? Unafahamika wapi nchi hii na una mchango gani?Hana lolote ,nje ya ccm huyu hana tofauti na mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utabaki ukijifariji hivyohivyo. Wewe uwe sawa na Dr Bashiru kwa lipi? Unafahamika wapi nchi hii na una mchango gani?Hana lolote ,nje ya ccm huyu hana tofauti na mimi
Aliyeanzisha ni Malisa wa CHADEMA...Katoa maoni yake aachwe! Maisha ya kupangiana hata cha kusema ni uzwazwa wa kiwango cha juu sana.
Kwanza aloanzosha hiki kimsemo cha anaupiga mwingi alitukosea sana.......
Nape ni mtu mpumbavu sana katika wanasiasa wa Tanzania ya leo; I am sorry to say so. Kikwete amefuga watu wa ajabu sana kwenye siasa za CCM kwa kumbebesha mama awalee huyu Nape na Makamba.Wameanza kumjadili kwenye vikao vya familiaView attachment 2421381
Nakubali na sasa nashauri vijana tuje na kauli mbiu yetu "ccm out"Huyo Bashiru hata wakimdhuru ni sawa tu, ili avune uovu aliousimamia kwa wote waliokuwa wanamkosoa Magufuli.
Hiyo 2025 unayosema ni kupoteza muda. Labda kama uongelee machafuko na sio box la kura. Magufuli alishatengeneza presidence ya kutoheshimu box la kura, na akasifiwa na waliofaidika na uhayawani ule. Hivyo 2025 mchezo utakuwa ni huohuo.
It's too late.... Alikua na momentum baada ya kifo cha JPM maana sintofahamu ilikua kubwa. Tatizo wanasiasa wengi hawawezi ku master the art of timing. Mara 10 Gwajima alijipambanua mapema ila huyu kachelewa sana sidhani hata anaweza sikilizwa na mtu kwa Sasa, he's irrelevant.Huenda he is ready for the worse !! Come what may ! Che guevara alisema “ its better to die standing than to live kneeling “. !!
We naye punguza unafiki, hata JPM alifuga wapumbavu kma Makonda na Sabaya ila sikuwahi ona mkisema JPM kamuachia Samia mizigo!!Nape ni mtu mpumbavu sana katika wanasiasa wa Tanzania ya leo; I am sorry to say so. Kikwete amefuga watu wa ajabu sana kwenye siasa za CCM kwa kumbebesha mama awalee huyu Nape na Makamba.
Tuendelee kukataa ccm aiwezekani tangu uhuru mpaka sasa matatizo ni yale yaleNapee mwenyewe ni mzee wa kubebwa bebwa tu, ila ni mweupe pee kichwani!.
Mkuu tatizo huko CCM wanajua Siri zako zote so ana mengi tu ya kupoteza. Ana miliki biashara, viwanja, tender kubwa serikalini so ana mengi ya kupoteza kuliko minyororo.Bashiru kitu pekee cha kupoteza alichonacho ni minyororo yake....
Ndugai alikuwa na nafasi kubwa sana, ndani ya Bunge na Chama, ukiachana na ubunge; ni nini tena mtachukua kwa Bashiru?
Hilo group lote, si ndio kuna fununu walitaka kufanya uhaini wakati wa msiba?,, Wao wanafikiri ishu imesahaurika😆,wamuulize Ally hapi,, watu hawasahau wanakupa tu kamba ndeefu ya kujinyongeaSiku hizi watawala wana hofu ya watu wanaowakosoa na wenye mawazo tofauti.
Yani siku hizi kukosoa ni kosa kweli.
Hizo siri, biashara, viwanja na tenda ndio minyororo yenyewe. Muhimu uhaiMkuu tatizo huko CCM wanajua Siri zako zote so ana mengi tu ya kupoteza. Ana miliki biashara, viwanja, tender kubwa serikalini so ana mengi ya kupoteza kuliko minyororo.
Ukiwa hauna makando kando una ujasiri wa kupambana na serikali otherwise utafilisiwa
Mkuu wewe ni mmoja ya watu objective sana humu jukwaani bila kuangalia chama. Na hapa umeongelea jambo la msingi sana.Hata siku moja, hakuwahi kuongea baya kuhusu CCM kipindi cha dhalimu, labda aliwaongea vibaya CCM Msoga gang maana ndio alichotoka kusikia Magufuli. Pale ndio Bashiru halisi na kiwango chake cha kulamba viatu kwa mgawa vyeo kilipoonekana. Yaani huyu Bashiru alikuwa anafuata chochote atakacho magufuli Hadi akawa kama mjinga.
Vipi pumzi imekata?NONSENSE..!!!
Tusubiri tuone. !!It's too late.... Alikua na momentum baada ya kifo cha JPM maana sintofahamu ilikua kubwa. Tatizo wanasiasa wengi hawawezi ku master the art of timing. Mara 10 Gwajima alijipambanua mapema ila huyu kachelewa sana sidhani hata anaweza sikilizwa na mtu kwa Sasa, he's irrelevant.
Kama haujui aliwahi kuongea kabla ya hapa alipo basi hutajua pia kama anaweza kuongea hata sass, unalazimisha awe kama wewe na haiwezi kuwa hivyo. Bashiru ni chuma cha puaIt's too late.... Alikua na momentum baada ya kifo cha JPM maana sintofahamu ilikua kubwa. Tatizo wanasiasa wengi hawawezi ku master the art of timing. Mara 10 Gwajima alijipambanua mapema ila huyu kachelewa sana sidhani hata anaweza sikilizwa na mtu kwa Sasa, he's irrelevant.
Alipokua Katibu mkuu kiongozi alishighulikia katiba mpya?? Alipinga mikopo? Alipinga JPM kusifiwa kma malaika? Alipinga manunuzi ya ndege nje ya bajeti?Kama haujui aliwahi kuongea kabla ya hapa alipo basi hutajua pia kama anaweza kuongea hata sass, unalazimisha awe kama wewe na haiwezi kuwa hivyo. Bashiru ni chuma cha pua
Vizur hivyo vipensi mnavyo vaa posta ndo mnaanza kujifunza viswahili vya kibasha,vijana wa hivi mnamchango mdogo sana kwa taifa lenu.We unamjua?
Inaonekana unapenda sana kubaishiwa ee?Vizur hivyo vipensi mnavyo vaa posta ndo mnaanza kujifunza viswahili vya kibasha,vijana wa hivi mnamchango mdogo sana kwa taifa lenu.
Ndugai ile barua hakuandika yeye - aliiona tu mitandaoni!Ndugai alikuwa na bado ni mtu mzima, ana elimu, alijua anachokisema sidhani kama alitegemea kuwa atalazimishwa kujiuzulu!
Bashiru alitimitiza wajibu wake ndani ya chama kwa nafasi aliyopewa. Kama wanaccm walimkubali we ni nani umchukie.