Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

Katoa maoni yake aachwe! Maisha ya kupangiana hata cha kusema ni uzwazwa wa kiwango cha juu sana.

Kwanza aloanzosha hiki kimsemo cha anaupiga mwingi alitukosea sana.......
Aliyeanzisha ni Malisa wa CHADEMA...
 
Huyo Bashiru hata wakimdhuru ni sawa tu, ili avune uovu aliousimamia kwa wote waliokuwa wanamkosoa Magufuli.

Hiyo 2025 unayosema ni kupoteza muda. Labda kama uongelee machafuko na sio box la kura. Magufuli alishatengeneza presidence ya kutoheshimu box la kura, na akasifiwa na waliofaidika na uhayawani ule. Hivyo 2025 mchezo utakuwa ni huohuo.
Nakubali na sasa nashauri vijana tuje na kauli mbiu yetu "ccm out"

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huenda he is ready for the worse !! Come what may ! Che guevara alisema “ its better to die standing than to live kneeling “. !!
It's too late.... Alikua na momentum baada ya kifo cha JPM maana sintofahamu ilikua kubwa. Tatizo wanasiasa wengi hawawezi ku master the art of timing. Mara 10 Gwajima alijipambanua mapema ila huyu kachelewa sana sidhani hata anaweza sikilizwa na mtu kwa Sasa, he's irrelevant.
 
Bashiru kitu pekee cha kupoteza alichonacho ni minyororo yake....

Ndugai alikuwa na nafasi kubwa sana, ndani ya Bunge na Chama, ukiachana na ubunge; ni nini tena mtachukua kwa Bashiru?
 
Nape ni mtu mpumbavu sana katika wanasiasa wa Tanzania ya leo; I am sorry to say so. Kikwete amefuga watu wa ajabu sana kwenye siasa za CCM kwa kumbebesha mama awalee huyu Nape na Makamba.
We naye punguza unafiki, hata JPM alifuga wapumbavu kma Makonda na Sabaya ila sikuwahi ona mkisema JPM kamuachia Samia mizigo!!

CCM wote mmeoza tu usifanye cherry picking hapa as if JPM was a master mind in politics!!
 
Bashiru kitu pekee cha kupoteza alichonacho ni minyororo yake....

Ndugai alikuwa na nafasi kubwa sana, ndani ya Bunge na Chama, ukiachana na ubunge; ni nini tena mtachukua kwa Bashiru?
Mkuu tatizo huko CCM wanajua Siri zako zote so ana mengi tu ya kupoteza. Ana miliki biashara, viwanja, tender kubwa serikalini so ana mengi ya kupoteza kuliko minyororo.

Ukiwa hauna makando kando una ujasiri wa kupambana na serikali otherwise utafilisiwa
 
Siku hizi watawala wana hofu ya watu wanaowakosoa na wenye mawazo tofauti.
Yani siku hizi kukosoa ni kosa kweli.
Hilo group lote, si ndio kuna fununu walitaka kufanya uhaini wakati wa msiba?,, Wao wanafikiri ishu imesahaurika😆,wamuulize Ally hapi,, watu hawasahau wanakupa tu kamba ndeefu ya kujinyongea
 
Mkuu tatizo huko CCM wanajua Siri zako zote so ana mengi tu ya kupoteza. Ana miliki biashara, viwanja, tender kubwa serikalini so ana mengi ya kupoteza kuliko minyororo.

Ukiwa hauna makando kando una ujasiri wa kupambana na serikali otherwise utafilisiwa
Hizo siri, biashara, viwanja na tenda ndio minyororo yenyewe. Muhimu uhai
 
Hata siku moja, hakuwahi kuongea baya kuhusu CCM kipindi cha dhalimu, labda aliwaongea vibaya CCM Msoga gang maana ndio alichotoka kusikia Magufuli. Pale ndio Bashiru halisi na kiwango chake cha kulamba viatu kwa mgawa vyeo kilipoonekana. Yaani huyu Bashiru alikuwa anafuata chochote atakacho magufuli Hadi akawa kama mjinga.
Mkuu wewe ni mmoja ya watu objective sana humu jukwaani bila kuangalia chama. Na hapa umeongelea jambo la msingi sana.

JPM alipokopa nje ya limit ya bunge walipiga makofi, alipofanya matumizi nje ya bajeti watu walimsifia ni mzalendo, alipopora majimbo yote walimsifia kwa ushindi wa kihistoria!!

Cha kuchekesha sio Polepole, sio Mpina, sio Ndugai, sio Bashiru eti wanalalamika mama Samia akifanya utumbo ule ule!! Wanasahau kuwa walipokaa kimya ndio wali set precedence mbaya kwa maRais wayakaofuaya
 
It's too late.... Alikua na momentum baada ya kifo cha JPM maana sintofahamu ilikua kubwa. Tatizo wanasiasa wengi hawawezi ku master the art of timing. Mara 10 Gwajima alijipambanua mapema ila huyu kachelewa sana sidhani hata anaweza sikilizwa na mtu kwa Sasa, he's irrelevant.
Tusubiri tuone. !!
 
Kama haujui aliwahi kuongea kabla ya hapa alipo basi hutajua pia kama anaweza kuongea hata sass, unalazimisha awe kama wewe na haiwezi kuwa hivyo. Bashiru ni chuma cha pua
 
Kama haujui aliwahi kuongea kabla ya hapa alipo basi hutajua pia kama anaweza kuongea hata sass, unalazimisha awe kama wewe na haiwezi kuwa hivyo. Bashiru ni chuma cha pua
Alipokua Katibu mkuu kiongozi alishighulikia katiba mpya?? Alipinga mikopo? Alipinga JPM kusifiwa kma malaika? Alipinga manunuzi ya ndege nje ya bajeti?

Kama hakufanya hayo basi ndio ajue lilikua kaburi lake la kisiasa. Haaminiki tena influence imeisha.
 
Vizur hivyo vipensi mnavyo vaa posta ndo mnaanza kujifunza viswahili vya kibasha,vijana wa hivi mnamchango mdogo sana kwa taifa lenu.
Inaonekana unapenda sana kubaishiwa ee?
 
Back
Top Bottom