Dkt. Bashiru hakuwa yeye wakati ule anaongea. Ameyafunua mengi ambayo hatukuyajua

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nimemsamehe kule kote ambako alikosea. Ile kauli aliyoitoa hakuwa yeye. Nadhani Mungu alimtumia makusudi kufunua mauchafu yaliyokuwa yamepoa.

Tunayasikia sasa yakitoa harufu. Bashiru ameyakoroga tukagundua kumbe kuna mauchafu mengi sema yalikuwa yametulia. Nampongeza sana.
 
Ninemsamehe kule kote ambako alikosea. Ile kauli aliyoitoa hakuwa yeye. Nadhani Mungu alimtumia makusudi kufunua mauchafu yaliyokuwa yamepoa.

Tunayasikia sasa yakitoa harufu. Bashiru ameyakoroga tukagundua kumbe kuna mauchafu mengi sema yalikuwa yametulia. Nampongeza sana.
Alimfuata Lema na kumwambia magufuli anataka sana kufanya kazi na wewe, alitakka kumuonga Lema one billion Tsh, akakataa! (Nabii Lema hawezi kusema uongo)
sasa kama alitaka kuhonga zote hizo, yeye ameiba ngapi?
 
Hata mimi Bashiru alinifuata akataka kunipa Bil 2. Nikamkatalia.
 
Back
Top Bottom