Tutakata rufaa kwa aliye juu mbinguni na ajibuye kwa moto dhidi ya matendo yote ya kubakwa KATIBA YETU.Hivi kuna mtu nchi hii anaweza mzuia JPM kufanya lake ????jibu ni hakuna yeyote na waliokuwepo wapo mbele za haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakata rufaa kwa aliye juu mbinguni na ajibuye kwa moto dhidi ya matendo yote ya kubakwa KATIBA YETU.Hivi kuna mtu nchi hii anaweza mzuia JPM kufanya lake ????jibu ni hakuna yeyote na waliokuwepo wapo mbele za haki
Ni kweli kabisa kwa uzi wa Polepole tulielewa ipo hila ndani yake agenda ya siri, mikakati ovu ishidwe kabisa itaharibu utaratibu wa nchi.Wateuliwa wote wanachokisema majukwaani usidhani ni bahati mbaya bali ni maelekezo, hata ukiona kila anayesima lazma amtaje jpm hata pasipo na sababu ya kumtaja jua ni maelekezo, kwahiyo Bashiru kusema vile yalikuwa ni maelekezo na angekuwa kajituma sidhani kama angevumiliwa mpaka leo, sema aliyeleta ukakasi juu ya jambo hilo ni Polepole aliposema Rais hana mpango wa kuongeza muda ila hawazui wananchi kujadiri jambo hilo.
Mkuu nimetamani kuuliza swali ila nimeishia kusema watanzania wote ni wajuaji
Nikweli bashiru awe makini.Kuwa karibu sana na Mfalme pia Kunarahisisha hata Kuuwawa Kwako hasa akihisi kuwa huwa na Kiherehere Kingi au hata unatumika.
Utakuja ushindwa ficha Sura yako itunze msg ndugu yangu.Hamna kitu kama hicho
Ahahahahah kibla
Ila Mkuu kunitamanisha na yule jamaa nakudai radhi tafadhali!!!!Yaani ww ni sawa na Aristotle wa Zama hizi nililiona hili
RIP Benjamin MkapaHivi kuna mtu nchi hii anaweza mzuia JPM kufanya lake ????jibu ni hakuna yeyote na waliokuwepo wapo mbele za haki