Tetesi: Dkt. Bashiru kupewa Ukatibu Mkuu Kiongozi,mkakati wa kumnyamazisha dhidi ya kuongeza muda wa Urais?

Hivi kuna mtu nchi hii anaweza mzuia JPM kufanya lake ????jibu ni hakuna yeyote na waliokuwepo wapo mbele za haki
Tutakata rufaa kwa aliye juu mbinguni na ajibuye kwa moto dhidi ya matendo yote ya kubakwa KATIBA YETU.
 
Kawaida kwa wanasiasa
Your browser is not able to display this video.
 
Ni kweli kabisa kwa uzi wa Polepole tulielewa ipo hila ndani yake agenda ya siri, mikakati ovu ishidwe kabisa itaharibu utaratibu wa nchi.
 
Anaweza kuongeza muda na watu mkapiga kelele humu mitandaoni na mwishoni mkapotezea na kujadili vitu vyengine kama kawaida yenu.
 
Bashiru huyu huyu aliyesema hatakubali nafasi nyingine ya kuteuliwa, unamuamini?? 😂 utakuwa mchanga kwenye siasa za chama dola.

Everyday is Saturday................................😎
 
Yawezekana maana bashiru na polepole wanatolewa chamani polepole waingizwe wataochagiza sera mpya ya "jemedari tumwongezee mitano, mpaka 2030". Hapo 2024 watumishi wapigwe tunyongeza twa mshahara wooote watasadiki jemedari apewe tuu mitano tens maana hata afaaye ajaye hatumuoni
 
Mtu akishakuwa katibu mkuu kiongozi hatoshika nafasi yoyote ya umma .(hii ni katiba).wengine ni Governor wa BOT,jaji mkuu,AG,CAG.
(Hata hivyo Rais ajae anaweza toka nyanda za juu kusini na hatokuwa mweusi kama Magufuli ,haya ni maneno yangu).
 
Yaani ww ni sawa na Aristotle wa Zama hizi nililiona hili
 
Acheni assumptions za kijinga, huyu rais wenu akiamua kukaa madarakani mpaka kifo anaweza tena bila kutumia mbinu uliyotaja. Rais ana mamlaka makubwa sana anaweza fanya lolote hasa kwa jamii ya watz waoga kama nyinyi.
 
Yaani mwenyekiti amuogope katibu wake kiasi hicho?

Basi hatafaa kuwa mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…