Dkt. Bashiru piga moyo konde na usonge mbele

Mama SSH amefanya vyema kumuondoa huyo mpiga dili, aende huko akamilizie hiyo miaka minne na miezi nane kisha arudi UDSM akaendelee na kazi ya taaluma yake.
 
Bashiru hata kama akikutwa na hatia sidhani kama atashtakiwa, hii move ya kumtoa Ikulu kumpeleka bungeni ndio mwisho wa mchezo, CCM ni kulindana miaka yote.
 
Leo hii ndo mnaona NDANI YA CHAMA KUNA MAFISADI?
 
Kabisa
 
Huna haki yoyote ya kunipangia nini nifurahie au nisikitike.
Inaonyesha watu kama wewe ndiyo mliokuwa mnawakamata watu kisa wamechinja mbuzi na kunywa pombe.
 
Hapo mteuzi katumia akili za kiintelejensia kuwa mpende uwe naye karibu alafu muadhibu
 
Daaaah kwa sasa bashiru taa nyekund imewaka kwake kwanza anatakiwa arudishe pesa alizochukua BOT na anatakiwa ajibu shitaka alipata wapi signature ya jpm hali ya kuwa jpm ashakuwa marehem hvyo hafaiii abadaniii yaniiii huyo bashiru
I'm stoplight [emoji613]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…