Dkt. Bashiru piga moyo konde na usonge mbele

Mama SSH amefanya vyema kumuondoa huyo mpiga dili, aende huko akamilizie hiyo miaka minne na miezi nane kisha arudi UDSM akaendelee na kazi ya taaluma yake.
 
Bashiru hata kama akikutwa na hatia sidhani kama atashtakiwa, hii move ya kumtoa Ikulu kumpeleka bungeni ndio mwisho wa mchezo, CCM ni kulindana miaka yote.
 
Wakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr. Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya dhati kwa maendeleo ya wananchi.
Kamwe sikutarajia kama IPO siku Dkt Bashiru atakuwa sehemu ya Chama tawala wala Serikali iliyopo madarakani maana viongozi wenzake wangempinga na kumtenga kutokana na imani na itikadi yake ya kuwakomboa watanzania kutoka katika umasikini, rushwa, maradhi na ujinga.
Naamini 100% kwamba Dkt Bashiru pia hakuwahi kufikiria kugombea vyeo vya kisiasa wala nafasi za uongozi.
Hulka yake, uzalendo wake na uchapa kazi wake ndizo tunu zilizomgusa JPM hadi kumuona kama msaada mkubwa katika kurudisha nidhamu ya chama na uwajibikaji wa chama kwa wananchi. Kazi hiyo aliifanya vyema na kurejesha nidhani, Hadji na sifa ya chama katika jamii.
Mafanikio ya Bashiru katika Chama, yalimuaminisha Mheshimiwa Hayati JPM kwamba Bashiru anafaa kuziba pengo LA katibu Mkuu Kiongozi
Hakika ni kwamba uteuzi wa Bashiru kushika Ukatibu Mkuu wa Chama, uliwashangaza wengi kama ambavyo pia uteuzi wa Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi ulivyowashtua wengi.
Leo hii, mheshimiwa Rais Samia ametengua uteuzi huo kwa kumteua katibu Mkuu Mwingine na Kumteua Dkt Bashiru kuwa Mbunge.
Mheshimiwa Bashiru, hiki ni kipimo cha ukomavu na weledi ndani ya kipindi kifupi.
Kuwa na moyo dhabiti na utulivu wa nafsi na kukubaliana na hali. Endelea kuchapa kazi kwa weledi, usithubutu kuungana na kundi lolote, simamia msimamo wako.
Tambua pia kwamba, mabadiliko makubwa uliyoanzisha katika chama yamekujengea chuki na uhasama mkubwa kwa mafisadi ndani na nje ya chama. Unapaswa kuchukua tahadhali zote za msingi.
Baada ya mtikisiko mfupi, utazidi kuwa imara zaidi na nyota yako itang'ara. Kila LA kheri katika Majukumu yako ya Kibunge, saidiana na Mh. Polepole kukiimarisha chama na kumuunga mkono kwa dhati Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. Uamuzi wake usikurudishe nyuma, Songa Mbele
Leo hii ndo mnaona NDANI YA CHAMA KUNA MAFISADI?
 
Kabisa
 
Mkuuu kufurahia Mabaya ya mwenzako ni dalili mbaya sana na ni hulka ya Kimaskini na inatupa picha kwamba wewe ni mtu wa aina gani.
Kikubwa tumwombee Bashiru apokee mabadiliko haya kwa mtazamo chanya. Kwa wanaomfahamu Bashiru tangu akiwa Department ya Political Science pale the Hill watakuwa mshahidi kwamba Kilichomponza Bashiru ni Nidhamu yake na Usikivu wake kwa Boss wake. Mhe. Balozi Kakurwa jipe Moyo haya ni mapito tu[emoji120][emoji120][emoji120]
Huna haki yoyote ya kunipangia nini nifurahie au nisikitike.
Inaonyesha watu kama wewe ndiyo mliokuwa mnawakamata watu kisa wamechinja mbuzi na kunywa pombe.
 
Bashiru kupata Ubunge pekee haitoshi ilipaswa Awekwe pembeni sehemu ili upite uchunguzi makini sana nashaka hata na Uraia wake, Ilikuwaje magu amfanye msimamizi wa watumishi wote tz hii inanipa ukakasi tungejikuta kila sehemu kuna wageni Mama Samia kwa kweli tuna imanj kubwa sana na wewe Mheshimiwa Rais
Hapo mteuzi katumia akili za kiintelejensia kuwa mpende uwe naye karibu alafu muadhibu
 
Daaaah kwa sasa bashiru taa nyekund imewaka kwake kwanza anatakiwa arudishe pesa alizochukua BOT na anatakiwa ajibu shitaka alipata wapi signature ya jpm hali ya kuwa jpm ashakuwa marehem hvyo hafaiii abadaniii yaniiii huyo bashiru
I'm stoplight [emoji613]
 
Back
Top Bottom