Dkt. Bashiru piga moyo konde na usonge mbele

Kitu ambacho kinakiuma Mimi, katika wale Wabunge wa3 aliowateua Mama Samy, Wabunge wa2 wamekuwa mawaziri, Ila Mwalimu Bashiru Wala Hajateuliwa Kama Waziri. Naendelea Kusikitika Kwenye Hili.... #Silent Demotion [emoji19][emoji19][emoji19]
 
Naunga mkono hoja!
Kidumu chama cha Mapinduzi
 
Haya maisha bana sasa hivi Bashiru wana fanana ana Halima Mdee muda wowote spika anaweza kumwambia la chini acha kelele [emoji134]
Kabisa yaani yeye na Jah people wa makambako hana tofauti na DR Bashiru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Hivi Ubunge si anatengeneza hela nyingi kuliko huo ukatibu mkuu kiongozi?


kuweni serious jamani
 
Bashiru nakushauri urudi chuo utengeneze CV yako achana na siasa,
Ukanda umekuharibia my friend
 
Hana skendo mbaya BOT ila ukanda na ukabila ndo unamponza, sasa Makonda anapeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…