Kama Mbowe hajawahi kuwa rais wa nchi na Magufuli pia hajawahi kusaini sheria ya kumuongezea muda. Tofauti yao ni kwamb Mbowe tayar ashabadilisha katiba ya chama chake na sasa ana zaid ya miaka 10 ktk kiti, huyu kesho akipewa nchi kuna uwezekano mkubwa wa kufanya the same ktk katiba ya nchi. Magufuli yeye ni mwenyekiti wa CCM na ni rais wa nchi lkn mpk leo bado hajabadilisha katiba ya chama wala ya nchi. So sioni sabab ya kumlaumu yeye ambae hajabadili katiba ya chama wala nchi afu tumuache Mbowe ambae tayar ashaanza kubadili ya chama. Kuhusu mm kuanzisha mada inayohusu Mbowe hapo pia umechemsha. Hili ni jukwaa huru kila mtu ana uhuru wa kuchangia chochote anachojisikia kuchangia ktk mada yoyote ili mradi havunji sheria zilizowekwa na wahusika wa jukwaa.