Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

Hujajibu swali, hao viongozi wabovu wametoka wapi wakati kwa miaka mitano mmekuwa mkijinasibu kuwa jiwe limemaliza viongozi wabadhirifu na watumishi waovu na wazembe, na pia mmekuwa mkijinasibu kuwa jiwe anachagua viongozi bora haijawahi kutokea? Maana wengi wa wanaotumbuliwa sasa hivi ni wateule wa jiwe?
Mkuu hili ni suala endelevu miaka mitano au kumi haitoshi Ndio maana tunashinikuza katiba ibadilishwe aendelee kutawala milele na ukomo wa uraisi ufutwe tuwe kama Burundi au Uganda maana tumegundua Hatuwezi kupoteza kiongozi Mahiri kama Magufuli kwa sababu ya chuki za watu
 
Ndio maana nawaambia wanaccm mkiwa waongo msiwe wasahaulifu, kwani kila sik mnatuamnisha kuwa jiwe limeshaweka mambo sawa hakuna ubadhirifu hata kidogo.
 
Ndio maana nawaambia wanaccm mkiwa waongo msiwe wasahaulifu, kwani kila sik mnatuamnisha kuwa jiwe limeshaweka mambo sawa hakuna ubadhirifu hata kidogo.
Hakuna mtu anasema hivyo Bala tunasema ubadhirifu na ufisadi umepungua kupitia kiasi
 
Mara ngapi CCM mnafanya vitendo ambavyo vipo against na Katiba ya JmT
Katiba inampa Rais uwezo wa kuwa Alfa na Omega katika kila maamuzi anayofanya.

Kwa hiyo akikosea ni kuwa: hakufuata taratibu lakini Alfa na Omega hawezi kuvunja katiba.
 
Dk. Bashiru sisi wananchi tukiandamana ili JPM aongoze bila ukomo nani wa kutuzuia.....umeshau jinsi tulivyoyajaza masanduku ya kura 2020....acha uoga Dk, mafisadi na mawakala wa mabeberu wamejifanya kama wamekufa "hibernation" ili awamu hii ipite.....wafungulie mabwawa ya maji ili mgao wa umeme uanze na wauze majenereta yao....
 
Hakuna mtu anasema hivyo Bala tunasema ubadhirifu na ufisadi umepungua kupitia kiasi
Wewe unaweza kuwa ni ingizo jipya la uvccm ndio maana hujui kitu, wenzako kila siku wanaimba mapambio ya kusifu na kuabudu kuwa ubadhirifu na uzembe umeisha halafu wewe unakuja kuwapinga
 
Wewe unaweza kuwa ni ingizo jipya la uvccm ndio maana hujui kitu, wenzako kila siku wanaimba mapambio ya kusifu na kuabudu kuwa ubadhirifu na uzembe umeisha halafu wewe unakuja kuwapinga
Uzembe kazini, ubadhirifu na ufisadi umepungua kiasi kikubwa mnoo
Ndio maana hata maisha ya Watanzania kwa sasa yamekua bora na rahisi mnoo
Pesa imekua na thamani Yaani raha tupu kila mtu anaogelea kwenye neema
Kweli nchi yetu inaongozwa na Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Tatizo lipo kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu maana mianya imeziba kabisa
 
maisha yamekuwa bora kwa kilo moja ya sukari kutoka 1800 mpaka 2500, cement kutoka 13500 mpaka 19000, mafuta ya kula kutoka 2000 lita mpaka 5200 (kumbuka hayo ni mahitaji muhimu) na wanunuzi wa korosho wamekimbia hakuna wanunuzi
 
Sisi viongozi wa CCM Kwa sababu ya uadilifu wetu yaani wala hayo makali ya maisha hutuyahisi kabisa
Unaijua vieite wewe!!
Sisi tunatembelea vieitee!!
 
Attachments

  • IMG_20210101_160453.jpg
    IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 1
  • IMG_20210112_135335.jpg
    IMG_20210112_135335.jpg
    82.6 KB · Views: 1
anzisha post ya mbowe, hapa tunaongelea kuhusu jiwe na kuongezewa muda wa kukaa madarakani kama rais. Mbowe hajawahi kuwa rais wa nchi.
Kama Mbowe hajawahi kuwa rais wa nchi na Magufuli pia hajawahi kusaini sheria ya kumuongezea muda. Tofauti yao ni kwamb Mbowe tayar ashabadilisha katiba ya chama chake na sasa ana zaid ya miaka 10 ktk kiti, huyu kesho akipewa nchi kuna uwezekano mkubwa wa kufanya the same ktk katiba ya nchi. Magufuli yeye ni mwenyekiti wa CCM na ni rais wa nchi lkn mpk leo bado hajabadilisha katiba ya chama wala ya nchi. So sioni sabab ya kumlaumu yeye ambae hajabadili katiba ya chama wala nchi afu tumuache Mbowe ambae tayar ashaanza kubadili ya chama. Kuhusu mm kuanzisha mada inayohusu Mbowe hapo pia umechemsha. Hili ni jukwaa huru kila mtu ana uhuru wa kuchangia chochote anachojisikia kuchangia ktk mada yoyote ili mradi havunji sheria zilizowekwa na wahusika wa jukwaa.
 
Hakuna aliyesema kuwa kasaini sheria bali tunachopinga ni ninyi wapambe kutaka kumuongezeea muda wa kututawala. Vijana wa uvccm muwe mnasoma post vizuri kabla ya kukimbilia kutetea jambo
 
Deo Sanga mbunge wa Makambako kwa mara ya tatu sasa amesikika bungeni akichangia hotuba ya Rais kuwa JPM aongezewe muda wa kubaki madarakani. Tofauti na Sanga jambo hili lilijadiliwa mara kadhaa na Juma Nkamia na Ally Keissy aliyekuwa mbunge wa Nkasi kaskazini.

Pamoja na kauli hizo kutolewa mara kadhaa na wabunge hao tumemsikia JPM na Katibu Mkuu CCM wakidai kwamba jambo hilo halitafanyika kujiongezea muda wa kubaki madarakani, lakini kauli ya "atake asitake ataongezewa muda" imekuwa ikitamkwa kwa nguvu.

Ikiwa hakuna dhamira ya namna hii mbona Mwenyekiti wa CCM Taifa na Katibu mkuu Taifa hawakuwaadhibu wabunge hao waliotamka maneno ambayo ni kinyume kabisa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Je, kauli za namna hii zina afya kwa Taifa letu?

Bila kupepesa macho hii ni dhamira mbaya kwa Taifa, maana kauli hizi zinasikika kwenye mhimili wa Bunge ambao kimsingi ndiyo wenye nguvu ya kubadili katiba na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa. Nawasilisha.
 
Hili lipo, tena waliowahi kusema siyo hao tu, yupo na kigogo mmoja aliyestaafu aliwahisema, mi nadhani wanachomekea chomekea ili kutuandaa ki saikolojia ili mwishoni kabisa wabadili gia angani!
 
Sio Mitano tena ni milele kabisa

Uchumi wa kati

Nchi hii ni tajiri sana

Au nasema uongo ndugu zanguuuuu

Unaijua vieite wewe

Sisi tunatembelea mavieitee

Mtoa UZI unategemea nini kwa wazee wa mavieitee?
 
Attachments

  • IMG_20210101_160453.jpg
    IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 1
Kuna kauli kuwa Bunge la sasa halina mvuto hivyo watu hawalifuatilii...! Lakini nyuzi kulihusu Bunge zinazoanzishwa hapa ni nyingi sana... !
Hili sio la kujadili hata JPM alishaweka wazi hana mpango wa kuendelea
 
Huyu mbunge mwili wake ni tofauti na akili zake mwili mkubwa akili empty
 
Kafanana sana na Sokwe mtu, hao ndio wazalendo anaowahitaji Mfalme JUHA
 
Kafanana sana na Sokwe mtu, hao ndio wazalendo anaowahitaji Mfalme JUHA
unapokuwa hulipendi jambo usikosoe kwa kitu ambacho huna uwezo wa kuuumba.ukianza kukosoa maumbile wewe ni mpungufu sana wa akili.

Mwanadam kaumbwa kwa daraja ya juu.ya viumbe wote ana utukufu.wewe kukaa kufananisha na kitu eti kisa hujapenda maoni yake ni ujuha.

kwan kaongea kibaya kipi si ana sababu zake.mbona china wamefanya hivo wewe una akili kuwazid wachina?

na naskia urus nao wako mbion kumpa ujemedar kubwa lao putin kwa kazi zake za kiwango.

kurudi kwwnye mada wewe mpinzan huna kabisa political tolerance yaan kitu cha kushindana kwa hoja unakimbilia kukosoa maumbile utafikir wewe umejiumba.
 
Hakika nimeshtushwa sana na Mbunge wa Ccm Bw.Sanga akitaka Muda wa Urais uongezwe.Sababu kubwa eti kumalizia Miradi.Najiuliza kwani ni lazima aliyeanzisha Miradi ndio Aimalize? Kwani akija kiongozi mwingine hawezi kuimaliza? Wabunge wetu Acheni kutaka kuitumbukiza Nchi kwenye Machafuko yasiyo ya lazima Heshimuni Katiba na Mheshimuni Hayati Baba wa Taifa na Marais Wastaafu ambao hawakujiongezea Muda wa Urais.
 
Back
Top Bottom