Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Mkuu hili ni suala endelevu miaka mitano au kumi haitoshi Ndio maana tunashinikuza katiba ibadilishwe aendelee kutawala milele na ukomo wa uraisi ufutwe tuwe kama Burundi au Uganda maana tumegundua Hatuwezi kupoteza kiongozi Mahiri kama Magufuli kwa sababu ya chuki za watuHujajibu swali, hao viongozi wabovu wametoka wapi wakati kwa miaka mitano mmekuwa mkijinasibu kuwa jiwe limemaliza viongozi wabadhirifu na watumishi waovu na wazembe, na pia mmekuwa mkijinasibu kuwa jiwe anachagua viongozi bora haijawahi kutokea? Maana wengi wa wanaotumbuliwa sasa hivi ni wateule wa jiwe?
Ndio maana nawaambia wanaccm mkiwa waongo msiwe wasahaulifu, kwani kila sik mnatuamnisha kuwa jiwe limeshaweka mambo sawa hakuna ubadhirifu hata kidogo.Mkuu hili ni suala endelevu miaka mitano au kumi haitoshi Ndio maana tunashinikuza katiba ibadilishwe aendelee kutawala milele na ukomo wa uraisi ufutwe tuwe kama Burundi au Uganda maana tumegundua Hatuwezi kupoteza kiongozi Mahiri kama Magufuli kwa sababu ya chuki za watu
Hakuna mtu anasema hivyo Bala tunasema ubadhirifu na ufisadi umepungua kupitia kiasiNdio maana nawaambia wanaccm mkiwa waongo msiwe wasahaulifu, kwani kila sik mnatuamnisha kuwa jiwe limeshaweka mambo sawa hakuna ubadhirifu hata kidogo.
Katiba inampa Rais uwezo wa kuwa Alfa na Omega katika kila maamuzi anayofanya.Mara ngapi CCM mnafanya vitendo ambavyo vipo against na Katiba ya JmT
Wewe unaweza kuwa ni ingizo jipya la uvccm ndio maana hujui kitu, wenzako kila siku wanaimba mapambio ya kusifu na kuabudu kuwa ubadhirifu na uzembe umeisha halafu wewe unakuja kuwapingaHakuna mtu anasema hivyo Bala tunasema ubadhirifu na ufisadi umepungua kupitia kiasi
Uzembe kazini, ubadhirifu na ufisadi umepungua kiasi kikubwa mnooWewe unaweza kuwa ni ingizo jipya la uvccm ndio maana hujui kitu, wenzako kila siku wanaimba mapambio ya kusifu na kuabudu kuwa ubadhirifu na uzembe umeisha halafu wewe unakuja kuwapinga
maisha yamekuwa bora kwa kilo moja ya sukari kutoka 1800 mpaka 2500, cement kutoka 13500 mpaka 19000, mafuta ya kula kutoka 2000 lita mpaka 5200 (kumbuka hayo ni mahitaji muhimu) na wanunuzi wa korosho wamekimbia hakuna wanunuziUzembe kazini, ubadhirifu na ufisadi umepungua kiasi kikubwa mnoo
Ndio maana hata maisha ya Watanzania kwa sasa yamekua bora na rahisi mnoo
Pesa imekua na thamani Yaani raha tupu kila mtu anaogelea kwenye neema
Kweli nchi yetu inaongozwa na Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Tatizo lipo kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu maana mianya imeziba kabisa
Kama Mbowe hajawahi kuwa rais wa nchi na Magufuli pia hajawahi kusaini sheria ya kumuongezea muda. Tofauti yao ni kwamb Mbowe tayar ashabadilisha katiba ya chama chake na sasa ana zaid ya miaka 10 ktk kiti, huyu kesho akipewa nchi kuna uwezekano mkubwa wa kufanya the same ktk katiba ya nchi. Magufuli yeye ni mwenyekiti wa CCM na ni rais wa nchi lkn mpk leo bado hajabadilisha katiba ya chama wala ya nchi. So sioni sabab ya kumlaumu yeye ambae hajabadili katiba ya chama wala nchi afu tumuache Mbowe ambae tayar ashaanza kubadili ya chama. Kuhusu mm kuanzisha mada inayohusu Mbowe hapo pia umechemsha. Hili ni jukwaa huru kila mtu ana uhuru wa kuchangia chochote anachojisikia kuchangia ktk mada yoyote ili mradi havunji sheria zilizowekwa na wahusika wa jukwaa.anzisha post ya mbowe, hapa tunaongelea kuhusu jiwe na kuongezewa muda wa kukaa madarakani kama rais. Mbowe hajawahi kuwa rais wa nchi.
Hakuna aliyesema kuwa kasaini sheria bali tunachopinga ni ninyi wapambe kutaka kumuongezeea muda wa kututawala. Vijana wa uvccm muwe mnasoma post vizuri kabla ya kukimbilia kutetea jamboKama Mbowe hajawahi kuwa rais wa nchi na Magufuli pia hajawahi kusaini sheria ya kumuongezea muda. Tofauti yao ni kwamb Mbowe tayar ashabadilisha katiba ya chama chake na sasa ana zaid ya miaka 10 ktk kiti, huyu kesho akipewa nchi kuna uwezekano mkubwa wa kufanya the same ktk katiba ya nchi. Magufuli yeye ni mwenyekiti wa CCM na ni rais wa nchi lkn mpk leo bado hajabadilisha katiba ya chama wala ya nchi. So sioni sabab ya kumlaumu yeye ambae hajabadili katiba ya chama wala nchi afu tumuache Mbowe ambae tayar ashaanza kubadili ya chama. Kuhusu mm kuanzisha mada inayohusu Mbowe hapo pia umechemsha. Hili ni jukwaa huru kila mtu ana uhuru wa kuchangia chochote anachojisikia kuchangia ktk mada yoyote ili mradi havunji sheria zilizowekwa na wahusika wa jukwaa.
unapokuwa hulipendi jambo usikosoe kwa kitu ambacho huna uwezo wa kuuumba.ukianza kukosoa maumbile wewe ni mpungufu sana wa akili.Kafanana sana na Sokwe mtu, hao ndio wazalendo anaowahitaji Mfalme JUHA