Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Obvious mkubwaNadhani unawazungumzia Lipumba, Mbowe na Mbatia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Obvious mkubwaNadhani unawazungumzia Lipumba, Mbowe na Mbatia!
Kwani hapo Ufipa ni hospitalini hadi uulize kuna madaktari wangapi?Ndio.
Hapo Ufipa kuna madaktari wangapi?
Na ww ukamuamini?Mbona hata Rais alishaweka wazi hataongeza hata sekunde moja hii ipo wazi kabisa.
Kama siyo hospitalini Covid 19 wanafanya nini hapo Baraza kuu la Ufipa?!Kwani hapo Ufipa ni hospitalini hadi uulize kuna madaktari wangapi?
Wameshaliwa vichwa muda tu.Kama siyo hospitalini Covid 19 wanafanya nini hapo Baraza kuu la Ufipa?!
Baraza kuu la Ufipa limeshaketi bwashee?Wameshaliwa vichwa muda tu.
Baraza kuu la Ufipa limeshaketi bwashee?
Duuu, kazi ipo.Nadhani unawazungumzia Lipumba, Mbowe na Mbatia!
Huyu nae bana, kwani hakumbuki KIA ndugai aliunga hoja ya muheshimiwa kessy, kua kwa wingi watakao Kua nao kipindi hiki hakuna anaeweza kupinga kupinga kuhusu suala LA kumuongezea muda raisi , na akassisitiza hata Kama hataki watamng'ang'aniza mpaka atakuli , sasa Leo anasema ni maneno ya wapinzani , sijui huyu ni dokta Wa nn
Hivi yule mzee aliyekua mbunge wa Nkasi, mzee wa "atake asitake tutamuongezea tu" alikua ni wa chama gani? Jobu Ndugai akiwa kwenye kiti cha bunge "shikilia hapo hapo, tukirudi, panapo majaaliwa, hoja hiyo iletwe hapa tutaipitisha, atake asitake tutamuongezea tu" huyu naye alikua wa chama gani? Hao ni wa vyama vya upinzani??Wapinzani wakikosa hoja huwa wanakuja na vioja. Nakumbuka haya waliwahi kuyasema hata ktk miezi ya mwisho mwisho ya utawala wa JK kwamba anapanga kuongeza siku za kukaa madarakan, JK akawajibu kwamba hatozidisha hata dakika 1 ya kukaa madarakan kwa mujibu wa sheria. Sasa leo tena badala ya kuja na hoja zenye mashiko wao wanakuja na hoja za masikitiko.
Hata kagame alikataaKatibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10.
Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya sasa na kwamba propaganda za wapinzani hasa Chadema zipuuzwe.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Wananchi wakamlazimisha!Hata kagame alikataa
Sisi tunataka meko awe wa maisha. Upinzani ufutweeWananchi wakamlazimisha!