Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

Baraza kuu la Ufipa limeshaketi bwashee?

Liketi lisiketi, msimamo wetu sisi wafuasi ni kuwa uchaguzi ulikuwa wa kihuni, hivyo hamna kushiriki hilo bunge kibogoyo la wezi wa kura, na wamwaga damu fullstop.
 
Huyu nae bana, kwani hakumbuki KIA ndugai aliunga hoja ya muheshimiwa kessy, kua kwa wingi watakao Kua nao kipindi hiki hakuna anaeweza kupinga kupinga kuhusu suala LA kumuongezea muda raisi , na akassisitiza hata Kama hataki watamng'ang'aniza mpaka atakuli , sasa Leo anasema ni maneno ya wapinzani , sijui huyu ni dokta Wa nn
 
Huyu nae bana, kwani hakumbuki KIA ndugai aliunga hoja ya muheshimiwa kessy, kua kwa wingi watakao Kua nao kipindi hiki hakuna anaeweza kupinga kupinga kuhusu suala LA kumuongezea muda raisi , na akassisitiza hata Kama hataki watamng'ang'aniza mpaka atakuli , sasa Leo anasema ni maneno ya wapinzani , sijui huyu ni dokta Wa nn

Huyo Bashiru hana ajualo, yeye ni kobe aliye juu mti, kwa vyovyote hajapanda mwenyewe bali kapandishwa.
 
Wapinzani wakikosa hoja huwa wanakuja na vioja. Nakumbuka haya waliwahi kuyasema hata ktk miezi ya mwisho mwisho ya utawala wa JK kwamba anapanga kuongeza siku za kukaa madarakan, JK akawajibu kwamba hatozidisha hata dakika 1 ya kukaa madarakan kwa mujibu wa sheria. Sasa leo tena badala ya kuja na hoja zenye mashiko wao wanakuja na hoja za masikitiko.
Hivi yule mzee aliyekua mbunge wa Nkasi, mzee wa "atake asitake tutamuongezea tu" alikua ni wa chama gani? Jobu Ndugai akiwa kwenye kiti cha bunge "shikilia hapo hapo, tukirudi, panapo majaaliwa, hoja hiyo iletwe hapa tutaipitisha, atake asitake tutamuongezea tu" huyu naye alikua wa chama gani? Hao ni wa vyama vya upinzani??

Nadhani kama ni kuanza kuleta hizo propaganda hao ndio waulizwe. Dr Bashiru alishawahi kuongea na hao akajua wana mpango gani na bunge hili hasa baada ya kuwa wamefanikiwa kurudi tena kwa uwingi mkubwa??
 
Wanasema waswahili nyimbo mbaya hachombezwi mtoto., hili jambo sasaiv linaonekana kama halina mashiko lakini you never know muda utaongea.,
 
Vipi, ile kauli ya kuuhakikia ulimwengu wote, kupitia mabalozi nchini kuhusu uchaguzi huru na wa haki 2020 imetekelezwa? Kwanini watu wasiendelee kutokuamini kuwa ccm inaweza kuwa na nia njema na nchi hii? Katibu Mkuu ccm mwenyewe alitamka kuwa mission ya chama chao ni kutumia dola kubakia madarakani kwa njia halali na haramu. Njia mojawapo halali ni kubadilisha katiba ili kuwezesha rais wa sasa kupata muda wa kutosha kuua upinzani.
 
Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10.

Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya sasa na kwamba propaganda za wapinzani hasa Chadema zipuuzwe.

Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama!
Hata kagame alikataa
 
Hawa wanajitekenya hakuna mtu mwenye habari nao tena wanabaki kujiongelesha ongelesha tu
Haohao ccm si ndiyo walikuwa wanabwbwaja bungeni kwamba rais aongezewe muda
 
Back
Top Bottom