Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwa ziarani Morogoro ametaja ugonjwa unaomsumbua Tundu Lisu kuwa ni deko .
Dalili za ugonjwa wa deko ni zarau ,majivuno ,kuota kuwa rais wa Tanzania ,kulialia, ushoga na kujikomba kwa wazungu.
Sababu ya ugonjwa wa deko ni malezi mabaya ya utotoni na inaonekana Lisu amelelewa kimayaimayai sana, ndiyo maana anadeka mpaka jitu zima la uzeeni.
Katibu Mkuu CCM: Tundu Lissu Anaumwa Ugonjwa wa Deko na Kiburi | MPEKUZI
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaa, nimecheka sana, kweli deko ni ugonjwa mbaya sana..!! Ila ukicheki kama kuna ukweli mkubwa, ingawa hii watu wengi wataona kama hoja sio ya kisomi..!!