johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tujisahihishe by NyerereAwamu iliyopita ndio waanzilishi wa hizi sifa zilizotamalaki nchini! Hatukuwahi kumuona akikemea alipokuwa kwenye chungu cha asali
Umechwmsha hatujaambiwa tushukuru kwa mabaya, serikali sio dini usijichanganyeAmechemsha, mtu unatakiwa kishukuru kwa yote!.
P
Nani anashukuriwa kwa Yote?Amechemsha, mtu unatakiwa kishukuru kwa yote!.
P
Kujisahihisha ukiwa nje ya mamlaka inaonekana ni wivu na husdaTujisahihishe by Nyerere
Hahaha.......!Umechwmsha hatujaambiwa tushukuru kwa mabaya, serikali sio dini usijichanganye
Hata kumshukuru Rais ni heshima ya Kiti (Mamlaka) vile vileKusema mh spika nashukuru kwa kunipa nafasi ni heshima ya kiti Tu, haina maana hata kama hatosema hivyo, ni Sawa na mtu akikikuuliza nikuongezee maji? Ukamjimbu No thank you, ungeweza kusema No Tu ikatosha
But Rais kulete maji kwenye mkoa ni moja ya majukumu yake ndio maana akawa kiongozi wetu na analipwa Kwa kuwa kiongozi wetu na ana ulinzi wa kutosha Kwa kazi hiyo sasa why tumshukuru?
Kwa wachukia tumbo tu.Hata kumshukuru Rais ni heshima ya Kiti (Mamlaka) vile vile
Hata kumshukuru Rais ni heshima ya Kiti (Mamlaka) vile vile
ushasema awamu iliyopita sasa hii si nyingine ambayo kwa madai yenu imebadilika sasa mbona mwapenda kusifiwa na mtu akisema ukweli mwamuandama?????Awamu iliyopita ndio waanzilishi wa hizi sifa zilizotamalaki nchini! Hatukuwahi kumuona akikemea alipokuwa kwenye chungu cha asali
Bashiru aungwe mkono na waungwana wote.
Hii kauli ya Dr Bashiru kwa MVIWATA nataka niiangalie kikatiba na kiBiblia zaidi
Sitajali hata kama yeye alikuwa akishukuriwa na Kusifiwa wakati anatimiza Majukumu yake ambayo kwayo alilipwa mshahara
"Ukishukuru na Kusifu unapopewa Haki yako unakuwa hauna maana"
Wabunge husemaga: Mh Spika nakushukuru kwa kunipa nafasi ya kuchangia
Sasa utajiuliza Mbunge kuchangia Hoja ni Haki ya Msingi au Hisani ya Spika?
Itaendelea...
Ungeweka awamu ya tano kama reference ingependeza maan huko ndipo kulishamiri sana mamb ya praise and worship plus kushukur hata kwa kunusurika kwa ajali tu shukran kwanza kwa Rais ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎHii kauli ya Dr Bashiru kwa MVIWATA nataka niiangalie kikatiba na kiBiblia zaidi
Sitajali hata kama yeye alikuwa akishukuriwa na Kusifiwa wakati anatimiza Majukumu yake ambayo kwayo alilipwa mshahara
"Ukishukuru na Kusifu unapopewa Haki yako unakuwa hauna maana"
Wabunge husemaga: Mh Spika nakushukuru kwa kunipa nafasi ya kuchangia
Sasa utajiuliza Mbunge kuchangia Hoja ni Haki ya Msingi au Hisani ya Spika?
Itaendelea...
Hahaha......!Ungeweka awamu ya tano kama reference ingependeza maan huko ndipo kulishamiri sana mamb ya praise and worship plus kushukur hata kwa kunusurika kwa ajali tu shukran kwanza kwa Rais ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Hahaha......!
Hata mvua ikinyesha
Ungeweka awamu ya tano kama reference ingependeza maan huko ndipo kulishamiri sana mamb ya praise and worship plus kushukur hata kwa kunusurika kwa ajali tu shukran kwanza kwa Rais ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ