Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ila Bashiru kafanya timing ya hali ya Juu, angalau Sasa hivi baadhi watakuwa wanaona aibu kuimba mapambio.
Wataonaje aibu wakati kusifia ndio kunatoa vyeo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Bashiru kafanya timing ya hali ya Juu, angalau Sasa hivi baadhi watakuwa wanaona aibu kuimba mapambio.
Nimeshangazwa na Kigwangwala.Wataonaje aibu wakati kusifia ndio kunatoa vyeo?
Sawa... Kosa lake kukataa kuunga juhudi za mpigaji mwingi?Awamu iliyopita ndio waanzilishi wa hizi sifa zilizotamalaki nchini! Hatukuwahi kumuona akikemea alipokuwa kwenye chungu cha asali
Umeshawahi kumuambia bosi wako asante boss nimeona mshahara umeingia bank nimepata meseji kwenye simu?Amechemsha, mtu unatakiwa kushukuru kwa yote!.
P