Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Nov 21, 2022 #41 Saharavoice said: Ila Bashiru kafanya timing ya hali ya Juu, angalau Sasa hivi baadhi watakuwa wanaona aibu kuimba mapambio. Click to expand... Wataonaje aibu wakati kusifia ndio kunatoa vyeo?
Saharavoice said: Ila Bashiru kafanya timing ya hali ya Juu, angalau Sasa hivi baadhi watakuwa wanaona aibu kuimba mapambio. Click to expand... Wataonaje aibu wakati kusifia ndio kunatoa vyeo?
Saharavoice JF-Expert Member Joined Aug 30, 2007 Posts 4,017 Reaction score 2,580 Nov 21, 2022 #42 Tindo said: Wataonaje aibu wakati kusifia ndio kunatoa vyeo? Click to expand... Nimeshangazwa na Kigwangwala. Anatakiwa kumshukuru Bashiru kumtengezea Kiki. Tulishaanza kumsahau.
Tindo said: Wataonaje aibu wakati kusifia ndio kunatoa vyeo? Click to expand... Nimeshangazwa na Kigwangwala. Anatakiwa kumshukuru Bashiru kumtengezea Kiki. Tulishaanza kumsahau.
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 14,244 Reaction score 10,073 Nov 21, 2022 #43 marisi schwein said: Awamu iliyopita ndio waanzilishi wa hizi sifa zilizotamalaki nchini! Hatukuwahi kumuona akikemea alipokuwa kwenye chungu cha asali Click to expand... Sawa... Kosa lake kukataa kuunga juhudi za mpigaji mwingi? Bashiru 3 vs 0 Chawa na mama yenu
marisi schwein said: Awamu iliyopita ndio waanzilishi wa hizi sifa zilizotamalaki nchini! Hatukuwahi kumuona akikemea alipokuwa kwenye chungu cha asali Click to expand... Sawa... Kosa lake kukataa kuunga juhudi za mpigaji mwingi? Bashiru 3 vs 0 Chawa na mama yenu
sheiza JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 7,640 Reaction score 11,680 Nov 21, 2022 #44 Pascal Mayalla said: Amechemsha, mtu unatakiwa kushukuru kwa yote!. P Click to expand... Umeshawahi kumuambia bosi wako asante boss nimeona mshahara umeingia bank nimepata meseji kwenye simu?
Pascal Mayalla said: Amechemsha, mtu unatakiwa kushukuru kwa yote!. P Click to expand... Umeshawahi kumuambia bosi wako asante boss nimeona mshahara umeingia bank nimepata meseji kwenye simu?