Mzee ,Wee ni Moja ya Watu muhimu sana waliobakia katika Taifa hili tunapozungumzia Suala la UZALENDO.
Nimekuona Hapo Msibani kwa Ndugai , Nashindwa kukutumia Ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa Kulizingatia sana sana, Wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee kua makini sana, ukijiachia tu Hatutakua Nawewe kabla ya Oktoba
Gari lako ulipoliegesha
Vinywaii na Chakula.
Migusano n.k.
NDUGAI MPAKA KUFIKIA JUZI ALIKUA MZIMA WA AFYA.
UHAI WAKE UMEKATISHWA ALIPOFIKA TU DODOMA .