Kiswahili chako kama cha Mkongomani. Hujaelewek
Ndiyo maajabu ya Tanzania yetu. Leo Ndungai, Polepole, Bashiru wamekuwa role model wetu.Bashiru huyu aliyesema mwaka 2020 hawawezi shindwa uchaguzi ilihali wana-dola leo amekua saviour
Unanyonya,unalishwa,unavishwa unaogeshwa unabebwa unabembelezwa kwanini utoto usiwe raha?Utoto raha sana
pengine mzalendo wa kwenu huko.Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
CDM mna vituko nyie. Yaani leo hii Bashiru naye ni mtu muhimu!! Huyu anayeamini ktk kutumia dola ili kubaki madarakani!?Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Ata ww unaweza kufa kabla ya kupost Uzi mwengine tuseme umeekewa sumu?Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Ndugai katumika kukusanya walengwa🤣🤣🤣🤣🤣Story za kutunga hizi ndugai alikuwa mgonjwa toka mda af ndugai hana madhara walisha mdhibiti mda san wadanganye uko kijiweni kwenye bodaboda
Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Inavyoonekana kuna mengi unayajua.Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.