Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Aseeh ma FBI wa kitanzania mnatisha sana
Kajipa jina kubwa kwaiyo ndio anajua kila kitu !!Siku yake ikifika atakufa tu acha ujuaji wako wa kijinga kwahiyo nyie FBI wa kiTanzania miakili yenu inawatuma Ndugai ameuawa? Acha upuuzi wako usio na miguu wala kichwa
Siasa haina rafk wa kudumu wala adui wa kudumu...kama huamini kuptia hili bas achana na siasaBashiru huyu aliyesema mwaka 2020 hawawezi shindwa uchaguzi ilihali wana-dola leo amekua saviour
Nimebaki nashangaa sanaMkuu, ulipaniki hadi ukashindwa kumuuliza huyo mzee amezipataje hizo fununu?
Au hapaswi kuhojiwa kama rais fulani huko Malawi?
Wahuni break azikabi Mamaeee 🤣🤣Wahuni aka wana mtandao ni balaa!! Polepole kawachochea kuni mbichi sasa wanahaha wanapita na yeyote.
Kwani sukuma gang bado ipoKwamba sukuma gang ni wapuuzi kiasi iko 😃
Tatizo vifo vinaonekana vimelemea upande mmojaMimi nasema wacha wauane tu hakuna jinsi nyingine.
komaa na verse mojaHata Lissu aliposema kuna watu wanamfuatilia ilionekana kama drama ila mwishowe ikalambwa risasi 40
Upande upiiTatizo vifo vinaonekana vimelemea upande mmoja
Utajiri wa mganga wa kienyeji huja pale jamii inapojawa na mafarakano. Hakuna kifo afrika ambacho utukufu anapewa Mungu moja kwa moja.Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Wanadai wahuni hawafiUpande upii
Wanaishi na msamaha wa jumla wa yote wanayoyafanya, hata wanyama wanajua hawa ni watoto wanacheza nao wakiwafahamu vizuri.Utoto raha sana
Ndo maana ccm anaendelea kutawala kwa fikra hiziSiasa haina rafk wa kudumu wala adui wa kudumu...kama huamini kuptia hili bas achana na siasa
Lengo kumchafua mstaafu JK na kundi lake.Acha kupika majungu wewe.
Eti Ndungai alikua mzima. Kwa heshima na taadhima marehemu alikua mgonjwa muda mrefu na Mwenyezi kamuita.
Acha majungu na fitina
Kumbe nae ni adui wa taifa!!!Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Pole pole atataga mwaka huuMzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Ww jamaa bana, yaanj msukule wowote wa dhalimu magu unauita mzalendo.Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Kumbe nae ni adui wa taifa,,,Acha utotoMzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.