Dkt. Bashiru, usomapo andiko hili mara moja hapo Msibani kwa Ndugai, chukua hatua mara moja za kulinda uhai wako

Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.

Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.

Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.

Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.

Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.

Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.

Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Mzee umeharibika ukubwani
 
Leo nimempigia Ndugu mmoja mwana CCM kijini ni balozi Nampa pole na msiba anasema wamemaliza Ndugai ni mzee kijijini bush kweli kweli huyo balozi nyumba kumi vijijini ndani zimefikaje
Mkuu, ulipaniki hadi ukashindwa kumuuliza huyo mzee amezipataje hizo fununu?

Au hapaswi kuhojiwa kama rais fulani huko Malawi?
 
Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.

Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.

Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.

Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.

Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.

Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.

Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Nonsense
 
Mkuu,

Ndugai kaumwa kapelekwa mpaka India kakaa miezi kibao, this is a matter of public record, afya yake ilikuwa na mgogoro kiasi akahitajika kwenda India na kulazwa kwa muda mrefu.

Unasemaje kuwa mpaka juzi alikuwa mzima wa afya?

Ulimpima afya yake juzi?
 
Ila wakati mwingine nyie chadema acheni usengerema basi, eti "alipofika Dodoma;" kwani alikuwa wapi siku zote kama si Dodoma?!!! Kama mkeshindwa nrne na ule mchongo wenu wa tone tone basi tafuteni vitu vingine vya msingi vya kufanya.
 
Mkuu,

Ndugai kaumwa kapelekwa mpaka India kakaa miezi kibao, this is a matter of public record, afya yake ilikuwa na mgogoro kiasi akahitajika kwenda India na kulazwa kwa muda mrefu.

Unasemaje kuwa mpaka juzi alikuwa mzima wa afya?

Ulimpima afya yake juzi?
Hii michadema imeishiwa hoja kwa Sasa hivyo imebaki kurukia rukia mambo ya kijinga tu.
 
Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.

Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.

Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.

Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.

Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.

Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.

Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Du............ mutandawo!!!!
 
Bashiru huyu aliyesema mwaka 2020 hawawezi shindwa uchaguzi ilihali wana-dola leo amekua saviour
Amekuwa shahidi wa mambo mengi na uzuri amefikia na Kukaa meza kuu, Just kama ilivo kwa ndugai na Polepole Hawa Close allies wa Chuma watakuwa hunted tu waishe Ili wasije Kudistrub equilibrium
 
Bashiru ni muslim i guess, hivyo kwa kulingana wa patterns za wanaondolewa hana cha kuhofia ...
 
Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.

Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.

Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.

Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.

Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.

Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.

Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Kuna ujinga mwingi sana JF siku hizi.
 
Back
Top Bottom