Dkt. Bashiru, usomapo andiko hili mara moja hapo Msibani kwa Ndugai, chukua hatua mara moja za kulinda uhai wako

Dkt. Bashiru, usomapo andiko hili mara moja hapo Msibani kwa Ndugai, chukua hatua mara moja za kulinda uhai wako

Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.

Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.

Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.

Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.

Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.

Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.

Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Kwa hio Viongozi hawatakiwa kufa ?
Ndugai kafa kawaida acha kuleta taharuki zisizo na maana.
 
Ndugai na yeye yupo kundi la wazalendo kweli watanzania hatujui tunachokitaka..
Yaani vituko vituko na bashiru ety kawa mzalendo.
Bashiru huyu huyu waliokua wanasema ndio master mind wa uchaguz enzi za magu
Ambae akifanya Kwa mara ya kwanza bunge la Tanzania kujaa ccm watupu
Leo hii nae Kawa mzalendo
 
Bashiru ni muslim i guess, hivyo kwa kulingana wa patterns za wanaondolewa hana cha kuhofia ...
Wewe punga harufu ya mavi imepanda kichwani
Inaonekana wameyasukuma mpaka yamefika kwenye hiyo fuvu….
 
Anahangaika mjinga huyo aliharibu demokrasia na kuiba kura 2020 hakika hafai kabisa
 
Back
Top Bottom