Dkt. Bashiru, usomapo andiko hili mara moja hapo Msibani kwa Ndugai, chukua hatua mara moja za kulinda uhai wako

Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.

Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.

Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.

Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.

Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.

Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.

Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Mmmmh ! 😳
 
Hawa Wash3nzi sasa hivi wanatumia ile sumu waliyomuulia DK. Omar, dakika sifuri tu unapotea.
 
Dungai si alikuwa akishinda muda mwingi Dodoma halaf yule alikuwa mgonjwa kitambo miaka 62
 
Raha yetu maskin si vyeo, mapesa wala mavi8 ni vifo vyao tu. Tufurahini sasa ndugu zangu.
 
Sa km mnayajua haya Kwann mko tayari kutesa ,kutoa roho wengine kabla ya muda wao sbb ya madaraka au pesa?

Unafikiri wanaoshangilia hawajui km wataondoka?
Waulize wanaotesana na kutoana roho

Sisi ni observers

Mbaya zaidi maafa makubwa hutoka kwa wazushi kuliko wahuni
 
Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.

Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.

Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.

Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.

Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.

Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.

Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Huyu Bashiru mbona alishajifia muda tu? Huyu ni dead snake zama zake zimeisha amewaachia ccm legacy ya unoko wa control number tu kupunguza ulaji wa asset na miradi ya ya ccm, ni kupunguza tu siyo kukomesha.
 
Back
Top Bottom