johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umeshapanic bwashee!Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako hakiyanani!
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako!Umeshapanic bwashee!
Kwa uongo auTundu Lissu kawashika MATAGA kunako hakiyanani!
Malalamiko FCTundu Lissu kawashika MATAGA kunako hakiyanani!
Sasa hii ya JPM kumpigia kampeni Wenje, UVCCM wataijibu vipi kwa mfano? 😁...Wakati huo huo Dr Bashiru amewataka vijana wa UVCCM kujibu hoja za wapinzani pale pale zinapotolewa bila kuchelewa kwani uwongo usipojibiwa unaweza kuaminika.
Watarejeshwa na nani?!Keshanusa rufaa za upinzani labda watarejeshwa kwenye kinyanganyiro
Nek maana imepigiwa kerere kwerikwerWatarejeshwa na nani?!
Madogo wapo wa kutosha kabisa!Hivi kuna kijana uvccm wa kujibu hoja zetu?
Madogo wapo wa kutosha kabisa!
CDM ukiachana na matusi na kauli za uchochezi wana hoja gani nyingine ambayo hata darasa la pili hawezi kuijibu?Hivi kuna kijana wa kujibu hoja zetu?