Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716


Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao.

Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie jimboni kwake.

Wakati huo huo Dkt. Bashiru amewataka vijana wa UVCCM kujibu hoja za wapinzani pale pale zinapotolewa bila kuchelewa kwani uongo usipojibiwa unaweza kuaminika.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nimeandika CCM wawe makini na Polepole na Bashiru..sasa UVCCM na TBCCM watafanya nini? Yaani TAL mmoja tu, siasa mmefanya nyie miaka yote mitano bado tu. "kukiwa na tume huru ya uchaguzi CCM wakabidhi Ikulu mapema" Polepole wa UKAWA na bunge la katiba.
 
Back
Top Bottom