auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Kafa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata shetani huwa anatajwa kila sikuCDM ni wimbo fulani hivi kama wa taifa hivi. Kuna watu wasipokitaja siku haiendi. CDM si imekufa jama? Mbona kuna watu wanaweweseka nayo hivi. CDM imekufa kama mwendazake. Endeleeni na maisha bila CDM kama maisha yanavoendelea bila mwendazake
Taarifa yako ni kwa mujibu wa kigogo?Nani aliyetaka kumuhujumu Mama Samia asirithi kiti baada ya mwendazake kukata umeme? Nyie ndio mliotaka kuwachonganisha wananchi!
Lakini shetani hajafa. Iliokufa ni cdm na mwendazake. Zoea hiloHata shetani huwa anatajwa kila siku
Kwani alifanya kosa gani kubwa hadi uhisi kwamba hata kwenye anafasi hiyo atachekechwa tena?Hahaha na hapo watamchekecha tu term ya kwanza ya mama ikiisha
Itapuuzwa kama ilivyopuuzwa report ya corona
Bashiru siyo mlangila wala hatoki kwenye Koo za walangilaBashiru ana maadui wengi sana ndani ya chama , hasa kukata mizizi ya wizi ndani ya mikoa na ngazi ya wilaya. Lakini ameonyesha bado ni shupavu na ujengaji wake wa hoja za mantiki ni hazina kubwa aliyonayo. Hata kama kuna mapungufu yalitokea baada ya JPM, bado ninaamini mama atamlinda na amor ubalozi nchi yoyote baada ya miaka hii minne ya ubunge. Kama yeye ni mlangila nina imani hawezi gombea ubunge wa jimbo. Ref, watoto wa Nyerere hamna anayepata ubunge Musoma sababu wazanaki ni minority Musoma , Na kule Bukoba hali kadhalika Mlangila hawezi kupata ubunge licha ya kwamba ni watawala kabla ya uhuru. Kwa intelect yake na uzalendo wake Bashiru atakuwa Balozi huko mbeleni na hasa kwenye utawala wa mama Samia hawezi kumtupa kijana kipenzi wa JPM jamii ya wastaarabu haruwezi kumwelewa na usemi wakazi iendelee ni pamoja na kuenzi mema ya marehemu. Bashiru ndiye kafanya chama kijitegemee kifedha baada ya kuhamishia mapato yote makao makuu. HONGERA Bashiru taifa limefiwa ,lakini mwenzetu meguswa zaidi na kifo cha marehemu , muzilankende mwenzake na JPM kam alivyokutambulisha katika moja ya ziarani mkiwa Bukoba.
Tulia,tuna data zote.Source ya habari yako ni mzee wa MIGA?
Umekwisha
mama pia alibebwa Sana tu ,na jiwe.Alibebwa na jiwe mama akamshusha hana jipya mjinga huyo
kwani Delilah hakubebwa!?Dr mpumbavu mpanda ngazi alieshuka kwa aibu.
Na mimi nimeshngaa kidogo. Nchi ilipitia kipindi kigumu kwa vipi? Watu kama kina Makonda na yule mpwa wa mwendazake ndiyo wanapitia kipindi kigumu.Yeye ndio amepitia kipindi kigumu baada ya Meko kufwa na sio nchi imepitia kipindi kigumu.