Dkt Bashiru: Waliotaka kutuchonganisha wameshindwa na kulegea

CDM ni wimbo fulani hivi kama wa taifa hivi. Kuna watu wasipokitaja siku haiendi. CDM si imekufa jama? Mbona kuna watu wanaweweseka nayo hivi. CDM imekufa kama mwendazake. Endeleeni na maisha bila CDM kama maisha yanavoendelea bila mwendazake
Hata shetani huwa anatajwa kila siku
 
Nani aliyetaka kumuhujumu Mama Samia asirithi kiti baada ya mwendazake kukata umeme? Nyie ndio mliotaka kuwachonganisha wananchi!
Taarifa yako ni kwa mujibu wa kigogo?

Umeliwa!
 
Itapuuzwa kama ilivyopuuzwa report ya corona

Wewe unaishi nchi gani? Hujasikia Rais Mwinyi anasema mahujaji Zanzibar watapatiwa chanjo? Sasa kama Zanzibar itatoa chanjo kwanini bara wasitoe chanjo? Upo hapo? Huoni viongozi wanavaa barakoa siku hizi?
 
Bashiru siyo mlangila wala hatoki kwenye Koo za walangila
 
Wewe unaishi nchi gani? Hujasikia Rais Mwinyi anasema mahujaji Zanzibar watapatiwa chanjo? Sasa kama Zanzibar itatoa chanjo kwanini bara wasitoe chanjo? Upo hapo? Huoni viongozi wanavaa barakoa siku hizi?
Na lockdown vipi
 
Apambane na hali yake,hiyo nafasi amepewa atulize matako aache kudemka.
 
Kiukweli siasa za awamu ilopita hazijawahi tokea tokea nchi hii izaliwe. Professors na daktarizi wamedharirika(sijui dhalilika) sana akiwepo Mwl wangu Bashiru!
 
Yeye ndio amepitia kipindi kigumu baada ya Meko kufwa na sio nchi imepitia kipindi kigumu.
Na mimi nimeshngaa kidogo. Nchi ilipitia kipindi kigumu kwa vipi? Watu kama kina Makonda na yule mpwa wa mwendazake ndiyo wanapitia kipindi kigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…