Dkt Bashiru: Waliotaka kutuchonganisha wameshindwa na kulegea

Mimi japo sikubaliani na maneno yake kuwa Taifa lilipitia kipindi kigumu lakini kwangu Bashiru ni kiongozi mzuri tu ukilinganisha na wengine walioko CCM. Sijui ilikuwaje lakini nilidhani ndiye aliyefaa kuwa makamu wa rais. Pamoja na ''kujito ufahamu'' kipindi cha marehemu Magu, lakini hebu niambia ni nani ambaye ''hakujitoa ufahamu'' CCM? ...na wengine hata upinzani na viongozi wa dini. Mimi nadhani maaduni wa Bashiru wengi ni wale CCM waliokuwa wamezibwa pumzi kipindi cha Meko na yeye akiwa katibu.
 
Aliyekwambia bashiru ni mlangila nani,hakuna mlangila muislamu,huyo akimaliza miaka yake ya ubunge atarudi udsm tu,alibebwa na jpm sababu wote ni wayango
 
Tuombe uzima Bashiru hatakaa arudi darasani. Kazi aliyofanya ni kubwa sana mama Samia ni mstaarabu sana na anajali leadership ethics na collective responsibility. Ngazi aligofika Bashiru ni kubwa mno si wa kurudi mitaani. Take it from me ni ubalozi kwenda mbele. Hata kama Bashiru alikuwa mmoja wa waliomhujumu mama SSH,bado analazimika amtreat with due respect. Internal power struggle ilikuwa haiepukiki katika mazingira ya ombwe la uongozi kwa kifo cha JPM. Msubiri mitaani Bashiru harudi , I tell you.
 
Bashiru anatakiwa kuwa waziri
 
Aliyekwambia bashiru ni mlangila nani,hakuna mlangila muislamu,huyo akimaliza miaka yake ya ubunge atarudi udsm tu,alibebwa na jpm sababu wote ni wayango
Bila shaka wewe ni mmoja ya walioshindwa na kulegea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…