Ungesema viongozi bora wachaguliwe ungeonekana wa maana ila kwasasa hauna utofauti na huyo Doto...huko Bukombe walipowachagua viongozi kutokana na u-chama ndo shida imeongezekaYuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.
Nakumbuka wakati wa mzee Ndesamburo akiwa mbunge wa Moshi mjini alitaka wanafunzi wa jimbo hilo wapewe elimu bure, ccm walipinga kuwa jambo lile haliwezekani Hadi mkurugenzi akawa anavunja vikao. Ila baadae wakavamia ajenda hiyo na kujifanya ni Yao. Hapo ccm walikuwa wanaunga mkono Kila kitu?Yuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.
Kwa sababu amesema mchague CCM?
Uchague mpinzani ambae chama chake hakiwezi kushika Dola Ili asimamie Ilani ya nani?
Ruksa kabisa kuwatenge watu wa hivyo
Mkuu uzuri ni kuwa hakuna tofauti yoyote ya maendeleo ya maana kati ya hayo majimbo kwa sababu yapo chama tawala!Naibu Waziri mkuu Dr Biteko amesema uchaguzi wa serikali za mitaa uko Karibu hivyo Wananchi wajipange kufanya uamuzi wa busara wa kuichagua CCM
Dr Biteko amewashukuru Wananchi wa Mbogwe kwa kuichagua CCM miaka tote, " Kule Bukombe tuliwahi kuchagua Wapinzani tunaelewa madhara yake" amesisitiza Naibu Waziri mkuu
Source: Upendo TV
Akitaka kujua maana si ago ogle tu bwashee!Umeulizwa unaitwa nani au maana ya jina lako?
Kwani ni lazima utukane? Au unataka tu kutuonyesha kuwa unajua kutukana kwa broken English?Blood fucken Doto biteko
Ndiyo maana we nyumbuNdiyo sababu una ujinga mwingi!
Ccm imejaa mapumbavu eti maendeleo kemkem , ni mpumbavu pekee anayeamin ccm inaleta maendeleo labda kama tozo, ufisadi, kukata umeme kutwa nzima,kuiba kura,ujangili, kukwepa kodi hapo sawaWatatengwa kama Mbeya.Toka tumewaweka pembeni Wapinzani maendelea ya Mkoa Sasa ni kemkem.
Ni ujinga kuchagua Wapinzani ambao hawawezi kushika Dola then sijui watakuwa wanatekelezaje Ilani.
IpoSawa. Lakini kwa watu wenye akili timamu wanaweza kumuuliza:
"Wabunge wa CCM ni takribani 100% kwa idadi bungeni.Je, kuna tija yoyote?".
Naelewa wazi rais Samia hatawabeba wabunge wazembe wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Niaminini mimi.
Kubishana na nguruwe 🐖 ni taabu sana!Ndiyo maana we nyumbu
Hiii nchi bado ina ujinga mkubwa sana kuanzia kwa viongozi hadi wanachi wake , ikiwa kodi unakusanya kwa wananchi wote kwanini linapo kuja swala la maendeleo wale wenye viongozi wa upinzani wanaadhibiwa kwa kuto pelekewa maendele utadhani sio walipa kodi?Yuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.
Nyumbu, hata kubishana hukujui!Kubishana na nguruwe 🐖 ni taabu sana!
Kenge wewe!Nyumbu, hata kubishana hukujui!
Naona una hamu ya kupumuliwa kisogo!Nyumbu wewe!
Biteko huyu huyu aliyebebwa na Ndugu yake wa Damu Magufuli ? ama kweli Dunia kituko !Naibu Waziri mkuu Dr Biteko amesema uchaguzi wa serikali za mitaa uko Karibu hivyo Wananchi wajipange kufanya uamuzi wa busara wa kuichagua CCM
Dr Biteko amewashukuru Wananchi wa Mbogwe kwa kuichagua CCM miaka yote, "Kule Bukombe tuliwahi kuchagua Wapinzani tunaelewa madhara yake" amesisitiza Naibu Waziri mkuu
Chanzo: Upendo TV
Majimbo yote wako ccm kuna mabadiliko?Yuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.
Hata waziri mkuu mwenyewe ni mwalimu wa shule ya msingi.Kama huyu ndiye naibu waziri mkuu, basi tumepigwa.
Huyu mwalimu wa shule ya msingi Biteko hana kitu kichwani kabisa. Ama kweli ccm hutoa vyeo kwa mbumbumbu.
Hivi amewahi kuongea cha maana huyu? Wapi? Na lini?